Law School: Check out this from UDSM..

Law School: Check out this from UDSM..

Law School imeanzishwa kwa nia nzuri (nadhani) ila uendeshaji wake ni wa hovyo - walimu hawatoshi na hao waliokuwepo hawafiki na kufundisha vipindi walivyopangiwa na hata mara nyingi wanapofika wan rashia rashia tu. N ailivyo kwa baadi ya wenye madaraka na hasa wa hii Law School wanafanaya kili jitihada kuonyesha kwamba chuo kipo na kinaendelea vizuri kumbe sivyo. Ndo matokleo mabovu ya kukatisha tamaa kwa vijana wanaojiunga na shule hiyo.

Wizara husika haitengi bajeti ya kukiendasha kiakamilifu na nilisikia mwaka juzi kuwa hata pesa zilizotolewa na wafadhili zilingia ktk fundu jingine na kutumika ovyo - ndo chnazo cha mgogoro na wanafunzi uliopelekea baadhi ya kusimamishwa na kufukuzwa - utamaduni wa wakubwa wa kutatua malalmiko ya wanafunzi huo!
 
Back
Top Bottom