Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Nimepata taarifa rasmi kutoka kwa source yangu ndani ya LST kampasi ya DUCE kusitishwa kwa masomo pale kampasi ya DUCE kutokana na mgomo ulioanza wiki mbili zilizopita. Taarifa zinasema kwamba chuo kimesitisha masomo mpaka itakapotangazwa vinginevyo na BODI. kama kuna mwenye taarifa zaidi atuwekee hapa....
Ninafuatilia news ili niwaletee taarifa zaidi.
Ninafuatilia news ili niwaletee taarifa zaidi.