Iwapo Fei Toto amevunja mkataba kihalali,na bado jopo la wanasheria tena waliofaulu Law school wanasema ni mchezaji wa yanga,hii ni dalili mbaya kwa fani ya sheria nchini.Inawezekana hata hao 26 baadhi walibebwa ndio kama hawa wanasheria wa utopolo.
Ipo hata mikataba ya ajira inasema wazi mtumishi akitaka kuvunja mkataba anatoa notice ya mwezi au masaa 24 na mshahara wa mwezi mmoja.Huwezi kulazimisha eti wakubaliane kwanza.Kama ni kukubaliana kwa nini msingeweka pia kipengele cha ku burgain kiasi anachotakiwa kuilipa club iwapo atataka kuvunja mkataba?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Wewe mkuu ndio ulifeli kabisa. Kila mchazaji angekuwa na uhuru wa kuondoka tu kisa kapata maslahi makubwa zaidi mbona timu nyingi zingeunia.Iwapo Fei Toto amevunja mkataba kihalali na bado jopo la wanasheria tena waliofaulu Law school wanasema ni mchezaji wa yanga, hii ni dalili mbaya kwa fani ya sheria nchini. Inawezekana hata hao 26 baadhi walibebwa ndio kama hawa wanasheria wa utopolo.
Ipo hata mikataba ya ajira inasema wazi mtumishi akitaka kuvunja mkataba anatoa notice ya mwezi au masaa 24 na mshahara wa mwezi mmoja. Huwezi kulazimisha eti wakubaliane kwanza. Kama ni kukubaliana kwa nini msingeweka pia kipengele cha ku burgain kiasi anachotakiwa kuilipa club iwapo atataka kuvunja mkataba?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Wewe mkuu ndio ulifeli kabisa. Kila mchazaji angekuwa na uhuru wa kuondoka tu kisa kapata maslahi makubwa zaidi mbona timu nyingi zingeunia. View attachment 2458321
Kwa hiyo unaangalia vifungu vya mkataba au unaangalia yanayotokea kwenye timu nyingi?Wewe mkuu ndio ulifeli kabisa. Kila mchazaji angekuwa na uhuru wa kuondoka tu kisa kapata maslahi makubwa zaidi mbona timu nyingi zingeunia.
Ipo wazi jamani duniani kote, ukivunja mkataba unalipa fidia!Kwa hiyo mkataba wa Feitoto na Yanga umeeleza vipi ikiwa mmojawapo anataka kuvunja mkataba wao?
Wewe kolo mikataba inafavor pande zote then kuna vifungu vinaenda kubana pande zote kisheria ndio maana mikataba uwa na karatasi nyingi,wewe umebeba hii tu but kuna page kwenye mkataba huo huo unaifavor klabu,weka mkataba wote hapa watu wakusaidie,rage akukosea kuwaita nyie mbu3!
Hacha matusi...Wewe kolo mikataba inafavora pande zote then kuna vifungu vinaenda kubana pande zote kisheria ndio maana mikataba uwa na karatasi nyingi,wewe umebeba hii tu but kina page kwenye mkataba huo huo unaifavor klabu,weka mkataba wote hapa watu wakusaidie,rage akukosea kuwaita nyie mbu3!
Mbona unabeba kaeneo kadogo tu kwenye mkataba ndio unakaweka hapa, kwaiyo huo ndio mkataba wote na vipengele vyote sio
Nimetukana wapi mkuu?Hacha matusi...
Fanya rejea, manara aliwaitaje??
Mkataba ndo makubaliano ya pamoja yanayozungumziwa hapa kwenye hii attachment yako na sio kukaa pamoja na kuzungumza mambo yasiyo ndani ya mkataba.Wewe mkuu ndio ulifeli kabisa. Kila mchazaji angekuwa na uhuru wa kuondoka tu kisa kapata maslahi makubwa zaidi mbona timu nyingi zingeunia. View attachment 2458321
Mbuzi ni nyie wanasheria fake mliomdanganya Fei Toto.Wewe kolo mikataba inafavor pande zote then kuna vifungu vinaenda kubana pande zote kisheria ndio maana mikataba uwa na karatasi nyingi,wewe umebeba hii tu but kuna page kwenye mkataba huo huo unaifavor klabu,weka mkataba wote hapa watu wakusaidie,rage akukosea kuwaita nyie mbu3!
Kakojoe ulale sasa maana umeandika pumbaMbuzi ni nyie wanasheria fake mliomdanganya Fei Toto.
Lazima mambo yawe straight na clear hasa yanayohusu maslahi na si tu kusema kurasa nyingi.Unahitaji sentensi ngapi kueleza maslahi ya mchezaji na club kama sio ukilaza unawasumbua tu?
Mkifeli mnapiga kelele wee kumbe "hovess " kabisa!
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Mkataba wowote ule unavunjika ukifuata mlivyokubaliana.Kwa hiyo mkataba wa Feitoto na Yanga umeeleza vipi ikiwa mmojawapo anataka kuvunja mkataba wao?