Law school kufaulu 26 ni halali. Fei Toto ni mchezaji huru

Law school kufaulu 26 ni halali. Fei Toto ni mchezaji huru

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Iwapo Fei Toto amevunja mkataba kihalali na bado jopo la wanasheria tena waliofaulu Law school wanasema ni mchezaji wa Yanga, hii ni dalili mbaya kwa fani ya sheria nchini. Inawezekana hata hao 26 baadhi walibebwa ndio kama hawa wanasheria wa utopolo.

Ipo hata mikataba ya ajira inasema wazi mtumishi akitaka kuvunja mkataba anatoa notice ya mwezi au masaa 24 na mshahara wa mwezi mmoja. Huwezi kulazimisha eti wakubaliane kwanza. Kama ni kukubaliana kwa nini msingeweka pia kipengele cha ku burgain kiasi anachotakiwa kuilipa club iwapo atataka kuvunja mkataba?
 
Iwapo Fei Toto amevunja mkataba kihalali,na bado jopo la wanasheria tena waliofaulu Law school wanasema ni mchezaji wa yanga,hii ni dalili mbaya kwa fani ya sheria nchini.Inawezekana hata hao 26 baadhi walibebwa ndio kama hawa wanasheria wa utopolo.

Ipo hata mikataba ya ajira inasema wazi mtumishi akitaka kuvunja mkataba anatoa notice ya mwezi au masaa 24 na mshahara wa mwezi mmoja.Huwezi kulazimisha eti wakubaliane kwanza.Kama ni kukubaliana kwa nini msingeweka pia kipengele cha ku burgain kiasi anachotakiwa kuilipa club iwapo atataka kuvunja mkataba?



Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app

Kwa hiyo mkataba wa Feitoto na Yanga umeeleza vipi ikiwa mmojawapo anataka kuvunja mkataba wao?
 
Iwapo Fei Toto amevunja mkataba kihalali na bado jopo la wanasheria tena waliofaulu Law school wanasema ni mchezaji wa yanga, hii ni dalili mbaya kwa fani ya sheria nchini. Inawezekana hata hao 26 baadhi walibebwa ndio kama hawa wanasheria wa utopolo.

Ipo hata mikataba ya ajira inasema wazi mtumishi akitaka kuvunja mkataba anatoa notice ya mwezi au masaa 24 na mshahara wa mwezi mmoja. Huwezi kulazimisha eti wakubaliane kwanza. Kama ni kukubaliana kwa nini msingeweka pia kipengele cha ku burgain kiasi anachotakiwa kuilipa club iwapo atataka kuvunja mkataba?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Wewe mkuu ndio ulifeli kabisa. Kila mchazaji angekuwa na uhuru wa kuondoka tu kisa kapata maslahi makubwa zaidi mbona timu nyingi zingeunia.
IMG-20221225-WA0042.jpg
 
Law skuli wamezingua sanaaaaaa... haya ndio yalikuwa maeneo yao yq kujidai na kuonesha usomi na unguli wao kama sio ubobezi ktk sheria...

Wakitueleza Sheria za mamlaka za michezo kuanzia Fifa, Caf, Cecafa (japo sio kwa umuhimu) na Tff

Pia wakitueleza kwa angle mbalimbali ambazo mchezaji anaweza kupata haki anayo itafuta na klub pia kwa ujumla wake

Bila kusahau sheria za nchi kama zinaweza kuingia hapa hasa sheria za ajira na kazi

Pia BMT kama chombo cha serikali chenye dhamana na michezo mbalimbali...

Maana ukiangalia hapa tayari kuna mgogoro baina ya mchezaji na klub, klub haitaki mchezaji aondoke na ikisema imesha anza mazungumzo ya kuongeza mkataba na maslahi binafi na kufika mbali kuwa wamezungumza na wawakilishi wa mchezaji pamoja na mama yake

Lakini wakati huo huo mchezaji nae kapeleka barua kuwa hataki kuwa sehemu ya klub ana taka wamruhusu aondoke na kwa namna hiyo kaweka mzigo wao wa mishahara na pesa zingine zinazo hitajika

Sasa hatua za kufata ni zipi ili kuvunja mkataba? Wanasheria wamekaa kimya, wanaishia kusema hatua za kufata.

Kwangu binafsi kuweka pesa, kuandika barua kwa klub zote hizi ni hatua za kufata kuvunja mkataba...

Unapo sema hatua za kufata kama mwanasheria ina bidi uzidadavue, na kama notice ya siku kadhaa una sema, kama kuna kuomba kikao cha mjadala unq sema, na pande inayo kinzana ikigomea una sema nini kifanyike...

Wanasheria wana yumbayumba tu na madesa, leo wapo kulia kesho kushoto... leo kulia kesho kushoto, hawa eleweki...
 
Wewe kolo mikataba inafavora pande zote then kuna vifungu vinaenda kubana pande zote kisheria ndio maana mikataba uwa na karatasi nyingi,wewe umebeba hii tu but kina page kwenye mkataba huo huo unaifavor klabu,weka mkataba wote hapa watu wakusaidie,rage akukosea kuwaita nyie mbu3!
Hacha matusi...

Fanya rejea, manara aliwaitaje??
 
Wewe mkuu ndio ulifeli kabisa. Kila mchazaji angekuwa na uhuru wa kuondoka tu kisa kapata maslahi makubwa zaidi mbona timu nyingi zingeunia. View attachment 2458321
Mkataba ndo makubaliano ya pamoja yanayozungumziwa hapa kwenye hii attachment yako na sio kukaa pamoja na kuzungumza mambo yasiyo ndani ya mkataba.

As long as vipengele vya mkataba vimembana mchezaji kutoka basi hatotoka, vikiwa na mwanya wa yeye kutoka anatoka tu akitimiza masharti ya hivyo vipengele. Kama ni lazima kukaa na kuzungumza jinsi ya kuondoka nje ya zile taratibu mlizokubaliana kwenye mkataba sasa mkataba uliweka hivyo vipengele kwa sababu zipi?
 
Wewe kolo mikataba inafavor pande zote then kuna vifungu vinaenda kubana pande zote kisheria ndio maana mikataba uwa na karatasi nyingi,wewe umebeba hii tu but kuna page kwenye mkataba huo huo unaifavor klabu,weka mkataba wote hapa watu wakusaidie,rage akukosea kuwaita nyie mbu3!
Mbuzi ni nyie wanasheria fake mliomdanganya Fei Toto.

Lazima mambo yawe straight na clear hasa yanayohusu maslahi na si tu kusema kurasa nyingi.Unahitaji sentensi ngapi kueleza maslahi ya mchezaji na club kama sio ukilaza unawasumbua tu?
Mkifeli mnapiga kelele wee kumbe "hovess " kabisa!

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Mbuzi ni nyie wanasheria fake mliomdanganya Fei Toto.

Lazima mambo yawe straight na clear hasa yanayohusu maslahi na si tu kusema kurasa nyingi.Unahitaji sentensi ngapi kueleza maslahi ya mchezaji na club kama sio ukilaza unawasumbua tu?
Mkifeli mnapiga kelele wee kumbe "hovess " kabisa!

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Kakojoe ulale sasa maana umeandika pumba
 
Back
Top Bottom