Law School na kauli za mfa maji haishi kutapa tapa

NA HILI NALO MKALITAZAME
 
Umenena vema. Huyu mleta mada alitumia muda mwingi kubet na kudanga badala ya kusoma. Sasa sehemu yake pekee ya kutokea ili apate cheti pale LST ni kwenye hili sakata. Ndiyo maana kalikomalia hatari.

Hapa ndipo lilipo tatizo letu kama watanzania. Nini kinakufanya hata ujiaminishe kuwa nina supp achilia mbali kuwa ni mwanafunzi LST au kuwa hata Nina maslahi yoyote binafsi na law kama profession?

Kwamba tutapata katiba mpya kweli na watu wenye mawazo finyu namna hii kama nyie?

Kulikoni anguko hili katika elimu nchini?
 
Hapa ndipo lilipo tatizo letu kama watanzania. Nini kinakufanya hata ujiaminishe kuwa nina supp achilia mbali kuwa ni mwanafunzi LST au kuwa hata Nina maslahi yoyote binafsi na law kama profession?
Unapata wapi nguvu na mamlaka ya kupinga kila maoni yanayokwenda kinyume na mawazo yako. Hata mifano ya nchi nyingine ikitolewa hutaki.

Sasa umehamisha magoli unasema hata walimu hawakuiva. Sasa kama walimu hawakuiva bila shaka wanatunga mitihani isiyoiva, kwahiyo wanafunzi wasioiva walipaswa kufaulu mitihani hiyo.

Undercooked teachers produce undercooked students through undercooked exams. Kwann wanafeli.

By the way kwenye suala la katiba mpya niko ngangari sana mkuu. Tuendeleze mapambano naheshimu mawazo yako na harakati zako. Tunatofautiana ktk hili la LST tu.
 

Kipi nilichosema mimi au ninachokipinga?

Walisema walimu LST kuwa wanafunzi kwenye vyuo nchini hawaivi. Wakasahau kuwa nao wamepikwa huko huko.

Swali langu ni wazi wao waliiva vipi?

Ungetoa majibu badala ya visingizio.

Kuhusu katiba mpya wewe pumzika tu huna vigezo. Kwani hata kwa watuhumiwa kuuwawa na polisi nako kwako si ni sawa tu?

Si kuwa haki inakuwa haki ukiguswa wewe tu. Definition kamili ya ubinafsi uliopitiliza.
 
Ninyi mko kwa ajili ya Fisiemu hamna lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…