Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,898
- 4,156
Law school of tanzania imeingiliwa na siasa , Nme sikitishwa na sheria mpya walizo pitisha hawa watu
●kwamba mtu alie kaa kazini kwa zaidi ya miaka 10 akiwa kama legal officer au ana LLB basi anaweza kuomba exemption kwa chief justice na kutunukiwa uwakili bila kupita law school, hili hali vijana wengine waki pambana pale law school kusoma wengine waki pambana kuchomoa sup zao na wengine waki disco .
Ilibidi hawa watu na wao wapewe mitiani wafanye kama wengine kuliko kutoa privilege kama hii tena kirahisi hivi .na kuongeza watu kwenye roll ambao hawaja ipambania kama walio pita law school na hadi huu mwaka uishe zaidi ya mawakili 1000+ ambao hawajapita law school watakuwa mjini
●Kwamba mtu asipo weza kufaulu supplementary ndani ya miaka mitatu (3) hata kama ni somo moja basi moja kwa moja unakuwa ume fail ivyo wewe na alie disco mnakua sawa. Hili sipingani nalo kwa jicho la kawaida ila nalipiga kwa jicho la kisiasa.
Hili litafanya wafaurishe watu wengi au wawape sup watu wengi hili kuipandisha tu serikali kwa mda hili hali watu bado wataendelea kushindwa kufikia malengo kama zamani.
Mwisho nme leta hili dukuduku baada kusikia jamaa mmoja apa akitamba na kukejeri hiki chuo na kumshauri mwenzake apambane afike miaka kumi ajichukulie mhuri kirahisi na aepuke kulipa ada ya ml 3.