BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Unapopata muda pitia pitia page za Law societies of Kenya na Pia Tanganyika Law Societies Utaona utofauti mkubwa sana wa hizi taasisi kwenye kufanya kazi. Taasisi moja ni kama tawi la Chama tawala huku taasisi nyingine ikionekana inasimama na wananchi kwa kila jambo.
Law Societies Of Kenya utaona wako serious sana na mambo ya nchi yao hasa Uonevu wa iana yoyote ile unao fanumya na Serikali yao
Tanganyika Law Societies kwa uoande wao ni kama UVCCM, sijaona hata tamko lao la Binti alie Lawitiwa, Sijaona tamko lao la Kijana alie tekwa na kuvunjwa taya.
TLS ni kama UVCCM au UWT, hii taasisi isha tekwa kama ilivyo vyama kama TUKUTA na Chama cha Walima CWT.
Haya ndio yamejaa kwenye page zao.
Kumbuka TLS wamepewa kiwanja na CCM cha kujenga offisi yao, kule Arusha kama sikosei.
Hawa ni Law Societies of Kenya wanaungana na waandamanaji na kumbuka pia waliandamana na wao kule mitaa ya Nairobi, Bango kama hili huwesi likuta kwenye page ya TLS. TLS ni UVCCM kamili.