Conquistador
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,435
- 3,463
TLS=KKKT=UVCCM=BAKWATA=
UWT=CUF=TLP hata hii ACT na NCCR
UWT=CUF=TLP hata hii ACT na NCCR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iko hivyoTLS=KKKT=UVCCM=BAKWATA=
UWT=CUF=TLP hata hii ACT na NCCR
Moja kila moja+Kenya zipo ngapi na Tanzania zipo ngapi?
Kwa hiyo Kenya ni "society" na Tanganyika ni "society", siyo "societies".Moja kila moja
Umemaliza kaka, the system is rigged, and TLS itabidi mfike mahalli muue huo mfumo unao waletea viongozi wasio sahihiWanachama wa TLS tupo, na tunaifanyia TLS amsha amsha, na mfano mzuri ni huu Rais Samia, mgeni rasmi, AGM ya TLS, Wanasheria tumweleze ukweli kuhusu ubatili wa Katiba yetu na sheria zetu, turudishe haki kuu ya Msingi!
Siku TLS walipotoa maoni kuhusu mkataba wa DPW na Bandari zetu, baadhi ya sisi wanachama wa TLS, tuliwapongeza na kuwa task Wito: Hoja za Kisheria za TLS, Prof. Shivji na wengine wote kupinga IGA, zisijibiwe Kisiasa kwa maneno matupu!, zijibiwe Kisheria kwa Vifungu!
Hivyo TLS, tunakwenda taratibu mdogo mdogo, tutafika tuu ila kwenye issues zinazohitaji aggressiveness, sisi Watanzania hatuko aggressive kama jirani zetu Wakenya, huku kwetu Mkuu wetu wa mhimili wa sheria, anateuliwa na Mkuu wa mhimili wa the executive, hivyo unategemea nini?, ni lazima ata pay lip services kwa mamlaka yake ya uteuzi!. Kule Kenya Mkuu wa mhimili wa Mahakama, anaomba kazi, anasailiwa ndipo anakuwa, hivyo anasimama wima kweli kweli kwasababu hana hisani au shukrani ya kulipa kwa yeyote!.
P
Amefika Bei Sasa.......Ana Family Sasa Atafanya Kazi Gani TenaDuh! Sungusia mbona kipindi cha nyuma alikuwa front sana alibadilika lini!
Yakishapenyezwa ma vegetables sehemu hakuna taasisi hapo ndio mana hawataki mtu mwengine zaidi ya vibaraka wao kuongoza TAL na Fatma Karume walikua Mwiba na waliwashughulikia ila ndio waliofanya hadi wa Tanganyika tujue kua kuna hii taasisi wengine wote ndio wale wale asante anaupiga mwingi.Unapopata muda pitia pitia page za Law societies of Kenya na Pia Tanganyika Law Societies Utaona utofauti mkubwa sana wa hizi taasisi kwenye kufanya kazi. Taasisi moja ni kama tawi la Chama tawala huku taasisi nyingine ikionekana inasimama na wananchi kwa kila jambo.
Law Societies Of Kenya utaona wako serious sana na mambo ya nchi yao hasa Uonevu wa iana yoyote ile unao fanumya na Serikali yao
Tanganyika Law Societies kwa uoande wao ni kama UVCCM, sijaona hata tamko lao la Binti alie Lawitiwa, Sijaona tamko lao la Kijana alie tekwa na kuvunjwa taya.
TLS ni kama UVCCM au UWT, hii taasisi isha tekwa kama ilivyo vyama kama TUKUTA na Chama cha Walima CWT.
View attachment 3036928
Haya ndio yamejaa kwenye page zao.
Kumbuka TLS wamepewa kiwanja na CCM cha kujenga offisi yao, kule Arusha kama sikosei.
View attachment 3036929
Hawa ni Law Societies of Kenya wanaungana na waandamanaji na kumbuka pia waliandamana na wao kule mitaa ya Nairobi, Bango kama hili huwesi likuta kwenye page ya TLS. TLS ni UVCCM kamili.
Rais wa TLS anafaa kuwa Mwakabusi, yule mwamba hanunuliki.Duh! Sungusia mbona kipindi cha nyuma alikuwa front sana alibadilika lini!