Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
:confused2::A S 100:Hata kusoma hujui weye kha😛op2: (hodi ya chooni haitikiwi karibu)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
:confused2::A S 100:Hata kusoma hujui weye kha😛op2: (hodi ya chooni haitikiwi karibu)
Natoa hoja
Mwenye kiu ya asali anicontact leo nina pesa si mchezo
Halafu nina kiu sana ya JD.... MAsa ameshaconfirm kwamba atakuwepo
:confused2::A S 100:
Wakati mwingine tunamsingizia tu, ni nafsi zetu wenyewe.MJ1 ..umemsahau mtu wa tatu. ambaye yupo kati yao..anaitwa Sheeeetani!
Ukiwa rafiki na huyu jamaa anakubadili akili na kuwa punguani au Juha hadi unaweza kutembea na mtoto wako au mama yako mzazi..
Wakati mwingine tunamsingizia tu, (SHETANI) ni nafsi zetu wenyewe.
huu ni ukosefu wa maadili,kukosa hofu ya mungu na kumtumikia shetani MJ1
kwa akili za kibinadamu akitawaliwa na shetani inawezekana ..lakini kama una hofu na mungu it is imposible
MJ1.....ikitoke hii ctaoa msanaha kwa wote wawili, hii tabia ni chafu sana sana, kwanza ka huyo ndugu yangu atakuwa ameidhalilisha familia nzima, kwa mwanaume itakuwa ndio mwisho wetu coz kama hii ni dharau ya kutosha kwangu...ickie kwa m2 wa mbali....
Bishanga .............dah huyu mama anastahili pongezi sijui ni upendo au maana ni ngumu ati. Naelewa yapo makabila yanayofanya hivyo hata kama mke anaouzao haijalishi wao sana sana wanaangalia maswala ya mali kuwa mume anapotaka kuoa mke wa pili au tatu basi bi mkubwa anatengeneza njia kwa wadogo zake na mzee wake anapokea mahari.
But kama alivyosema nyamayao ni makubaliano. Nahisi mke na mume walikaa na mke akamshauri mumewe afanye hilo ingawa angekuwa mwanaume mwingine angeshauriwa amwache bi mkubwa akaoe mwingine.
Hata mimi aisee! khaa!
Mie anavyovishangaa MJ1 kwangu navionaga vya kawaida tu. Nadhani MJ1 bado hajakua akaona kuwa hivi sasa dunia imefikia steji hii:
Baba kumlala binti yake kama amlalavyo mkewe
Mama kulalwa mwanae kama ambayo analalwa na mmewe
Kijana kulalana na mama mkwe wake.
Baba kumlala mke wa kijana wake..........
Kama hiyo haitoshi, kuna vijana wanawalala kuku na mbuzi kama wanavyowalala magelofrendi zao....
Na mabinti nao kulalwa na madogi kama hawana akili nzuri.....
Hivi leo jumangapi?..............Oooshhh! Ngoja nikailale Tusker Malti bana! Maisha mafupi haya!
thank you very much sirYou are totally wrong FL1,
Babu DC!
wengi walisema haya na kula viapo lakini hadi leo tunawaona mitaani tena wakiwashika mahabuba wao kwa bashashaMJ1.....ikitoke hii ctaoa msanaha kwa wote wawili, hii tabia ni chafu sana sana, kwanza ka huyo ndugu yangu atakuwa ameidhalilisha familia nzima, kwa mwanaume itakuwa ndio mwisho wetu coz kama hii ni dharau ya kutosha kwangu...ickie kwa m2 wa mbali....
thank you very much sir
crystal clear
you can say that again......... mara nyingi tunaongozwa na hisia na siku yakikufika ndio unagundua kuna kitu kinaitwa reality na sura zake zote tatu (urefu, upana na kina chake)Unaona kaka,
Hapa kuna watu wanataka kufikiri kwa niaba ya wengine....Hivi mtu uko Dar, Tanga, Ar or Moshi, unaweza kufikiri au kuwabebwa watu wa Makambako, Katavi, Nguruka, Mulugwanza, Muhutwe au Mabila????
Hivi haramu kwako ni haramu kwangu??
Bado nipo nipo sana!
jamani jamani...sema bwana! mbona hivyo...bado nakupenda.