Lawama nimpe Nani?

leo wanagawa bure? ......................


Natoa hoja

Mwenye kiu ya asali anicontact leo nina pesa si mchezo

Halafu nina kiu sana ya JD.... MAsa ameshaconfirm kwamba atakuwepo
 
We Ondiem (hapa nimeita kigikuyu ujue) hujui kuwa chauro ni shemeji yako?
 
Nakumbuka eneo tulilokulia kuna prof mmoja mkewe wa ndoa alikuwa hazai wakamchukua mdogo wake wakaenda wote nje walivorudi tayari walikuwa na mtoto wao mdogo, yule mdogo mtu akaolewa huko akaenda kuzaa watoto zaidi mara akarudi kusalimia kama likizo hivi, alipofika kamchukua yule mtoto na wake alikuwa mgongoni wakawa wanaenda dukani tu kununua mkate kitu kama hicho, njiani wakapata ajali yule mtoto aliyepatikana kwa shida alifariki palepale, yule dada na mwanae mgongoni hata kuchubuka...

kwa hiyo wengine wanatembea na shemeji zao kwa kesi ya aina hii,nashindwa kuelewa wa aina hii walaumiwe au wassilaumiwe
 
MJ1 ..umemsahau mtu wa tatu. ambaye yupo kati yao..anaitwa Sheeeetani!

Ukiwa rafiki na huyu jamaa anakubadili akili na kuwa punguani au Juha hadi unaweza kutembea na mtoto wako au mama yako mzazi..
Wakati mwingine tunamsingizia tu, ni nafsi zetu wenyewe.
 
Wakati mwingine tunamsingizia tu, (SHETANI) ni nafsi zetu wenyewe.

Gazeti inawezekana kuna ukweli na hilo unalosema..Inawezekana nikawa naji-contradict mwenyewe lakini nimefikiri nikaona kuna uwezekano hakuna kitu kinaitwa shetani... Madudu yote tunayofanya ni kwa utashi wetu lakini tunazingizia shetani ametupitia.. Mbona shetani hatushiki mikono tufanye maovu..

Wakati unatembea na binti yako ili upate utajiri au na dada yako..shetani anakuwa hayuko.. Labda tunatafsiri vibaya vitabu na kuhalalisha madhambi na uchafu wetu kwa kutumia kizingingizio cha shetani...itabidi nitoe shilingi kwenye comment yangu kuwa shetani anachangia kufanya hayo madudu..
 
Nimesoma page 1 tu, nitaendelea baadaye kidogo,

Ila MJ1, nikikwambia wote hawana makosa nitakosea???


Nitarudi baadaye...Siyo kwa PM lakini. Publicly!!
 
huu ni ukosefu wa maadili,kukosa hofu ya mungu na kumtumikia shetani MJ1
kwa akili za kibinadamu akitawaliwa na shetani inawezekana ..lakini kama una hofu na mungu it is imposible

You are totally wrong FL1,

Babu DC!
 

Afadhali umejiongelea wewe mwenyewe binafasi.

Hawa jamaa wote hawana kosa hata moja!!

Tuendelee!!
 

Hapo sasa unakaribia kupata jibu,

Tutafika tu!
 
DC naona umeamua kuchukua mlengo wa kushoto haya dadavua! Wote hawana makosa!!
 

Wewe kweli ni special edition, ya aina yeke pekee!!


Mbavu zangu jamani....Lazima unilipe gharama za ukarabati!!
 
wengi walisema haya na kula viapo lakini hadi leo tunawaona mitaani tena wakiwashika mahabuba wao kwa bashasha

reality checks.... almost all the time
 
Reactions: Mbu
thank you very much sir

crystal clear

Unaona kaka,

Hapa kuna watu wanataka kufikiri kwa niaba ya wengine....Hivi mtu uko Dar, Tanga, Ar or Moshi, unaweza kufikiri au kuwabebwa watu wa Makambako, Katavi, Nguruka, Mulugwanza, Muhutwe au Mabila????


Hivi haramu kwako ni haramu kwangu??

Bado nipo nipo sana!
 
you can say that again......... mara nyingi tunaongozwa na hisia na siku yakikufika ndio unagundua kuna kitu kinaitwa reality na sura zake zote tatu (urefu, upana na kina chake)
 
jamani jamani...sema bwana! mbona hivyo...bado nakupenda.

Hawa naye alianza hivi hivi kwa Adam na mwisho akaambiwa 'kwa uchungu utazaa', Adam naye akapigwa biti 'kwa jasho lako utakula'!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…