GE2025 Lawama za mchujo zilizidi hadi ikabidi wabadili katiba! Kazini kwao kuna Kazi!

GE2025 Lawama za mchujo zilizidi hadi ikabidi wabadili katiba! Kazini kwao kuna Kazi!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Blessed Tajiri

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2023
Posts
284
Reaction score
870
images (90).jpeg

Kila wakichekecha kipenzi anadondoshwa, wakimrudisha inabidi kipenzi mwingine aanguke, mchujo umekuwa umekuwa vita🤣🤣🤣

Halafu sasa kulivyokuwa hakuna siri, wanaotiwa ngumu wote wanakuwa wanajulikana, wakifikiria kurogwa na kuwahishwa kwenda kumuona mwenda zake wanasema aaaah aaah embu tufikirie tena.

Bora tu lawama irudi kwa wajumbe🤣🤣🤣 kule hamna noma sana, huchoreshwi kama kule kwenye kamati ya roho mbaya😂🤣 kule kwenye vipenzi wa mama, kote kule watapitishwa wengi ili hata wakiliwa vichwa waseme ni wajumbe, wao waliwapa nafasi.

Ila mambo yao tunayaachia wenyewe kama anavyosemaga Smart911
 
Back
Top Bottom