Basi anakosea. Unajua what you think about, you bring about. na kama anafikiria kila saa kua trust kati yenu iko weak, na itaendelea kua hivo. Hii ni shida kubwa inawapara wapenzi wengi na wanashindwa kuelewa ni kitu gani kinawafanya washindwe ku-enjoy mapenzi kwa furaha na starehe.
Ningekushauri uongee nae tena na umwambie aache kabisa kuweka shaka. ukiwa na shaka, hata kitu cha kawaida unakichukulia kama ushahidi wa kutomuamini mwenzio, whereas ungekua unamwamini hicho hicho kitu ungeweza kukitetea hata mtu wa nje akikichallenge.
kweli sio rahisi ku "let bygones be bygones" ila ukweli mngine ni kwamba the future starts here and today, kama atataka iwe reflective of what has always been itakua hivo, na kama atataka change ianze leo, it will also be. all in all you need to work together and anzeni mapema kabla haijawa too late.