Lawfare is dead. I’m ecstatic

Lawfare is dead. I’m ecstatic

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Well, wananchi wameamua.

Uchaguzi umefanyika huku wananchi wakiwa na full knowledge ya mashitaka yote ya kizushi dhidi ya Donald Trump.

Ni wazi kuwa wapiga kura walio wengi hawakuona tatizo.

Naamini wengi wao wana maoni kama ya kwangu, kwamba, kesi zote hizo ni figisu za kisiasa tu.

Hoja sijui ya ‘convicted felon’, kughushi risiti, n.k., ni wazi hazikuwa na ushawishi mkubwa.

Nimefurahi sana kuona wameangukia pua.

Nadiriki kusema hao wote waliombambikia kesi ndo wamesababisha kwa kiasi cha kutosha kumfanya ashinde uchaguzi kwa mandate ya uhakika kabisa.

Kutumia vyombo vya dola kumnyanyasa mpinzani wako wa kisiasa ni jambo baya sana.

Tumeona jinsi ambavyo Mbowe alifungwa na polisi wa Samia kwa tuhuma za ugaidi.

Hivi nani Tanzania hii anayeamini kweli kuwa Mbowe ni gaidi?

Trump ni unicorn. Ni mshindi kwa namna zote.

Si figisu za kesi za jinai. Si figisu za kesi za madai.

Si majaribio mawili ya kutaka kumuua.

Si figisu za kutaka kumzuia asigombee kwa kuliondoa jina lake kinyemela kwenye karatasi za kupigia kura.

Vihunzi vyote kaviruka. Sasa hivi hao waliombambikia hizo kesi za kizushi wako na matumbo joto.

Wanajiuliza kama atalipiza kisasi.

Wanachekesha. Endapo wangejiuliza hivyo kabla ya kumbambikia hizo kesi, pengine wasingejikuta kwenye hali waliyonayo hivi sasa.

Hongera sana Rais Trump. Umeipeleka kesi yako kwa wananchi na wao wameamua kwa kishindo.

USA baby 🇺🇸.
 
Ulimwengu mzima umefurahia Babu Trump kumbwaga yule shemale.
 
Mimi Sina sababu za msingi pia Sina uelewa Mpana wa siasa za Marekani na za kimataifa kiujumla lakini nilipenda Trump awe rais
 
Well, wananchi wameamua.

Uchaguzi umefanyika huku wananchi wakiwa na full knowledge ya mashitaka yote ya kizushi dhidi ya Donald Trump.

Ni wazi kuwa wapiga kura walio wengi hawakuona tatizo.

Naamini wengi wao wana maoni kama ya kwangu, kwamba, kesi zote hizo ni figisu za kisiasa tu.

Hoja sijui ya ‘convicted felon’, kughushi risiti, n.k., ni wazi hazikuwa na ushawishi mkubwa.

Nimefurahi sana kuona wameangukia pua.

Nadiriki kusema hao wote waliombambikia kesi ndo wamesababisha kwa kiasi cha kutosha kumfanya ashinde uchaguzi kwa mandate ya uhakika kabisa.

Kutumia vyombo vya dola kumnyanyasa mpinzani wako wa kisiasa ni jambo baya sana.

Tumeona jinsi ambavyo Mbowe alifungwa na polisi wa Samia kwa tuhuma za ugaidi.

Hivi nani Tanzania hii anayeamini kweli kuwa Mbowe ni gaidi?

Trump ni unicorn. Ni mshindi kwa namna zote.

Si figisu za kesi za jinai. Si figisu za kesi za madai.

Si majaribio mawili ya kutaka kumuua.

Si figisu za kutaka kumzuia asigombee kwa kuliondoa jina lake kinyemela kwenye karatasi za kupigia kura.

Vihunzi vyote kaviruka. Sasa hivi hao waliombambikia hizo kesi za kizushi wako na matumbo joto.

Wanajiuliza kama atalipiza kisasi.

Wanachekesha. Endapo wangejiuliza hivyo kabla ya kumbambikia hizo kesi, pengine wasingejikuta kwenye hali waliyonayo hivi sasa.

Hongera sana Rais Trump. Umeipeleka kesi yako kwa wananchi na wao wameamua kwa kishindo.

USA baby 🇺🇸.
Yanga imechana mkeka
 
Back
Top Bottom