TANZIA Lawrance Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango afariki dunia

Samia na Magufuli nani zaidi?
 
Poleni ndugu ,jamaa na marafiki.

M.A.P L.M

Nakumbuka alivyotoa maoni mchana kuhusu fedha zote za mapato ya serikali ziondolewe kwenye Bank za kibiashara zipelekwe BOT zitayumbisha uchumi ,saa mbili JIWE akamtumbua ila Mama kizimkazi akaja kumrudisha.
 
Wasifu haujasema amezaliwa wapi mwaka gani...
 
Nyingi nafasi za kubebwa na Mzee wa Msoga tu. Kipimo halisi ni alipokuwa CEO wa NBC na namna alivyofeli vibaya kiuongozi hadi kutolewa na makaburu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…