TANZIA Lawrance Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango afariki dunia

TANZIA Lawrance Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango afariki dunia

kuna watu humu wamedai alikuwa anaugua ugonjwa huo, ndo nataka kuhoji kiuhalisia angeenda huko vipi wakati tunaifaham hosp hyo?
Kumradhi kwa kutoeleweka vyema, najua nime'sound plain sana!
We unajua utakufaje? Au kifo kipi ni honorable zaidi ungependa wewe ufe? Mtu akiondoka ni busara tu kumuacha aende hata kama haumpendi! Mtu kwenda kutafuta afya yake popote ni haki yake so long as anaweza, wapo malaki walienda loliondo kwa babu na mpaka leo mamilioni wengine wamekesha leo kwa kalumanzila. Ni maisha yao
 
Back
Top Bottom