Hodi wana Jamii!!
Hebu tujikumbushe sheria au miswada ya sheria iliyowahi kupitishwa na bunge let tukufu, lakini haijawahi kufanya kazi licha ya rais kuipitisha.
* kuvuta sigara hadharani
* kumkonyeza mwanamke
* kupiga muziki wa disco maeneo ya makazi ya watu
* - - - - - -
* - - - - -
Nawasilisha