Laws enacted by our parliament that never or almost never functioned

Laws enacted by our parliament that never or almost never functioned

Ndondobwila

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2015
Posts
562
Reaction score
407
Hodi wana Jamii!!
Hebu tujikumbushe sheria au miswada ya sheria iliyowahi kupitishwa na bunge let tukufu, lakini haijawahi kufanya kazi licha ya rais kuipitisha.

* kuvuta sigara hadharani
* kumkonyeza mwanamke
* kupiga muziki wa disco maeneo ya makazi ya watu
* - - - - - -
* - - - - -
Nawasilisha
 
Unapima vipi kwamba haizijawahi kufanya kazi hizo sheria??
 
Back
Top Bottom