Dodou
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 494
- 391
Aah Aah taratibu please. HujamwelewaMwambieni ajaribu kusomea udaktari kwanza, alafu aje kutoa kauli tena
Hajamaanisha ugumu wa kozi au masomo ila amemaanisha jinsi ya kucheza na akili na kuwa ' lawyers wana interpret things' I guess doctors wanakariri things