Lawyers are the most learned

Mwambieni ajaribu kusomea udaktari kwanza, alafu aje kutoa kauli tena
Aah Aah taratibu please. Hujamwelewa

Hajamaanisha ugumu wa kozi au masomo ila amemaanisha jinsi ya kucheza na akili na kuwa ' lawyers wana interpret things' I guess doctors wanakariri things
 
Kabudi has said "lawyers are the most learned" because they don't define terms but they enterprete them. Is this true guys?



atakuwa mgonjwa wa akili huwezi kufananisha fani za kusoma ukiwa kitandani na fani ambazo zinabadilisha dunia kila siku
 



Hizi Degree zenu za ungwini muwe mnakaa na kuambiana upupu wetu huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…