Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nafikiri hiyo ni malicious prosecution..(frivoulous and vexatious charges)Nimekuwa nafuatilia kisanga cha Polisi wetu Morogoro kubambika mtu kesi ya kichwa na baada ya game lao kushtukiwa wao sasa wanapambana na mkono wa sheria.Naomba nijulishwe mashtaka yatakayowakabili waganga njaa hao hatarishi.