Lawyers help p'se

Lawyers help p'se

tibihika

Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
39
Reaction score
4
Nimekuwa nafuatilia kisanga cha Polisi wetu Morogoro kubambika mtu kesi ya kichwa na baada ya game lao kushtukiwa wao sasa wanapambana na mkono wa sheria.Naomba nijulishwe mashtaka yatakayowakabili waganga njaa hao hatarishi.
 
nafikiri hiyo ni malicious prosecution..(frivoulous and vexatious charges)
 
Back
Top Bottom