Nimekuwa nafuatilia kisanga cha Polisi wetu Morogoro kubambika mtu kesi ya kichwa na baada ya game lao kushtukiwa wao sasa wanapambana na mkono wa sheria.Naomba nijulishwe mashtaka yatakayowakabili waganga njaa hao hatarishi.