Columbus
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 2,002
- 651
Nikiwa naanza ujasiriamali ktk ufugaji wa kuku nimepetwa na tatizo la ugonjwa unaoitwa bronchitis(mafua) kwa mujibu wa wauza madawa ya kuku, nimejaribu kuwapatia hiyo dawa lakini vifo vinaendelea kama vile sijachukua hatua.
Naombeni uzoefu kwa anaejua dawa inayoweza kunisaidia kwa tatizo la kuku hao wa mayai.
Naombeni uzoefu kwa anaejua dawa inayoweza kunisaidia kwa tatizo la kuku hao wa mayai.