Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mh Lazaro Nyalandu leo tena ameendelea kuomba ridhaa ya wananchi wa Singida Kaskazini ili wampe kura zao ili awe mwakilishi wao bungeni .
Leo alikuwa Kijiji cha Matumbo , kata ya Makuro , eneo hili ni kama ccm haina mgombea ubunge baada ya ya mgombea wake aitwaye Ramadhan Ighondu kuogopwa na wapiga kura kutokana na kugubikwa na kashfa ya Utekaji , ametajwa mara kadhaa kuhusika kumteka Dr Ulimboka aliyekuwa kiongozi wa Madaktari wa Tanzania , hakuwahi kukanusha