Uchaguzi 2020 Lazaro Nyalandu aendelea kuimalizia CCM Singida

Uchaguzi 2020 Lazaro Nyalandu aendelea kuimalizia CCM Singida

Huyo mgombea wenu ni TISS,kala damu nyingi.Ulimboka ataungana na Nyalandu wiki ya mwisho kufunga kampeni aje awaeleze wapiga kura madhambi ya Ighondu.
Stay tuned
Hii tetesi nimeisikia mkuu , nikajua masihara kumbe kweli ?
 
Huyu alikuwa mbunge akajihuzuru ,leo amekumbuka nini ?

Subiri tarehe 28 tutawaonyesha kazi wanafiki wakubwa, mawakala wa mabeberu.
Tatizo la kuchukua illitarate ili wajibu hoja za wapinzani ambao wao wanamwaga facts. Hata kishwahili chenyewe ambayo ni lugha yako shida kukitumia. AKAJIHUZURU ndio nini?

Na unaposema subiri 28 mtawaonesha wewe na nani? Ongelea nafasi yako maana hujui aliyepembeni yako anawaza nini. Ili uonekane constructive jenga hoja, pinga hoja kwa hoja na si "nyinyi mawakala wa mabeberu"
 
Poa tu,kura za mabegi zinawasababisha muinajisi nchi.Furahini sasa.

Huoni kama chadema kuwaambia wanachama wake kwamba wameshindwa sababu ya changamoto ileile kila uchaguzi ni udhaifu mkubwa sana??
 
Back
Top Bottom