Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Safi sana !Weekend hii tumefanya kampeni ya nyumba kwa nyumba kwa ajili ya udiwani ,ubunge na urais hapa kijijini kwetu ,wananchi wametuelewa sana na wana hasira na CCM wanaona kama siku ya kura haifiki.
Mwaka huu labda wafute uchaguzi hawatoki
Hanyahe Mbuyaane!View attachment 1581955
Mh Lazaro Nyalandu leo tena ameendelea kuomba ridhaa ya wananchi wa Singida Kaskazini ili wampe kura zao ili awe mwakilishi wao bungeni .
Leo alikuwa Kijiji cha Matumbo , kata ya Makuro , eneo hili ni kama ccm haina mgombea ubunge baada ya ya mgombea wake aitwaye Ramadhan Ighondu kuogopwa na wapiga kura kutokana na kugubikwa na kashfa ya Utekaji , ametajwa mara kadhaa kuhusika kumteka Dr Ulimboka aliyekuwa kiongozi wa Madaktari wa Tanzania , hakuwahi kukanusha
Mimi mwenyewe nina mwaka wa 10 sijawahi kuvaa nguo iliyotengenezwa africa , hata combat zangu za chadema ni special orderAnatafuta nauli za kupeleka suti zikafuliwe Ulaya.
Go go go Lazarus nyalandu.View attachment 1581955
Mh Lazaro Nyalandu leo tena ameendelea kuomba ridhaa ya wananchi wa Singida Kaskazini ili wampe kura zao ili awe mwakilishi wao bungeni .
Leo alikuwa Kijiji cha Matumbo , kata ya Makuro , eneo hili ni kama ccm haina mgombea ubunge baada ya ya mgombea wake aitwaye Ramadhan Ighondu kuogopwa na wapiga kura kutokana na kugubikwa na kashfa ya Utekaji , ametajwa mara kadhaa kuhusika kumteka Dr Ulimboka aliyekuwa kiongozi wa Madaktari wa Tanzania , hakuwahi kukanusha
Good job. Well done.Weekend hii tumefanya kampeni ya nyumba kwa nyumba kwa ajili ya udiwani ,ubunge na urais hapa kijijini kwetu ,wananchi wametuelewa sana na wana hasira na CCM wanaona kama siku ya kura haifiki.
Mwaka huu labda wafute uchaguzi hawatoki
Haka kaneno kameshika kasi. Sio tena mandege, mafly over, mauchumi wa kati??? Ccm kimewatokea nini?? Ni hali ta kukata tamaa.😂😂😂 Tukutane Octorber 28
Barikiwa mkuu wewe na kizazi chako kwa jitihada zako za kusaidia jambo hili muhimu la ukombozi wa nchi yetu.Weekend hii tumefanya kampeni ya nyumba kwa nyumba kwa ajili ya udiwani ,ubunge na urais hapa kijijini kwetu ,wananchi wametuelewa sana na wana hasira na CCM wanaona kama siku ya kura haifiki.
Mwaka huu labda wafute uchaguzi hawatoki
Ccm imewadharau Sana wananchi wa singida.. imekosa watu hadi kuamua kumsimamisha mwanachama wa "wasiojulikana", mtekaji RAMADHANI IGHONDU??!!!View attachment 1581955
Mh Lazaro Nyalandu leo tena ameendelea kuomba ridhaa ya wananchi wa Singida Kaskazini ili wampe kura zao ili awe mwakilishi wao bungeni .
Leo alikuwa Kijiji cha Matumbo , kata ya Makuro , eneo hili ni kama ccm haina mgombea ubunge baada ya ya mgombea wake aitwaye Ramadhan Ighondu kuogopwa na wapiga kura kutokana na kugubikwa na kashfa ya Utekaji , ametajwa mara kadhaa kuhusika kumteka Dr Ulimboka aliyekuwa kiongozi wa Madaktari wa Tanzania , hakuwahi kukanusha
Jamaa walimfanyia kitendo cha kiunyama sana dr.Ccm imewadharau Sana wananchi wa singida.. imekosa watu hadi kuamua kumsimamisha mwanachama wa "wasiojulikana", mtekaji RAMADHANI IGHONDU??!!!
Akishinda unikumbushe nikupongeze pia nimpongeze na yeye.View attachment 1581955
Mh Lazaro Nyalandu leo tena ameendelea kuomba ridhaa ya wananchi wa Singida Kaskazini ili wampe kura zao ili awe mwakilishi wao bungeni .
Leo alikuwa Kijiji cha Matumbo , kata ya Makuro , eneo hili ni kama ccm haina mgombea ubunge baada ya ya mgombea wake aitwaye Ramadhan Ighondu kuogopwa na wapiga kura kutokana na kugubikwa na kashfa ya Utekaji , ametajwa mara kadhaa kuhusika kumteka Dr Ulimboka aliyekuwa kiongozi wa Madaktari wa Tanzania , hakuwahi kukanusha
Amemuuzia nani?serikali iko wapi isimkamate?Huyu Nyarandu kauza twiga wetu nje ya nchi.anakesi za kujibu muda ukifika.
Huyo mgombea wenu ni TISS,kala damu nyingi.Ulimboka ataungana na Nyalandu wiki ya mwisho kufunga kampeni aje awaeleze wapiga kura madhambi ya Ighondu.Huyu alikuwa mbunge akajihuzuru ,leo amekumbuka nini ?
Subiri tarehe 28 tutawaonyesha kazi wanafiki wakubwa, mawakala wa mabeberu.