Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #21
Hii tetesi nimeisikia mkuu , nikajua masihara kumbe kweli ?Huyo mgombea wenu ni TISS,kala damu nyingi.Ulimboka ataungana na Nyalandu wiki ya mwisho kufunga kampeni aje awaeleze wapiga kura madhambi ya Ighondu.
Stay tuned
Ukichunguza kwa makini wabunge wote wa Chadema wamepewa kazi maalumNyalandu we jikite hapo hapo singida ifute mawakala wa shetani wote
Tatizo la kuchukua illitarate ili wajibu hoja za wapinzani ambao wao wanamwaga facts. Hata kishwahili chenyewe ambayo ni lugha yako shida kukitumia. AKAJIHUZURU ndio nini?Huyu alikuwa mbunge akajihuzuru ,leo amekumbuka nini ?
Subiri tarehe 28 tutawaonyesha kazi wanafiki wakubwa, mawakala wa mabeberu.
Ana go Kenya sasaGo go go Lazarus nyalandu.
Poa tu,kura za mabegi zinawasababisha muinajisi nchi.Furahini sasa.Ana go Kenya sasa
Poa tu,kura za mabegi zinawasababisha muinajisi nchi.Furahini sasa.
.Mkuu shetani kafutwa? Sie huku tushamfuta shetani we2Nyalandu we jikite hapo hapo singida ifute mawakala wa shetani wote