The Magnifico
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 431
- 1,594
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mshauri wa Rais, Diplomasia.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Balozi Lazaro Samuel Nyalandu ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais, Diplomasia.
View attachment 3505490
Mikono iliyotapakaa damu za watu wasio na hatia haiwezi kutakata kwa longolongo tu. Inahitajika toba ya kweli.
Hata wafanyaje hachomoki. Safari hii fazafaka ameingia choo cha kiume—atakojoa akiwa amesimama!
Ulishawahi kumuona mfa maji? Usipokuwa makini, akikushika ili kuyaokoa maisha yake; mnaweza kuzama wote na kufa.Huyu si aliteuliwa kuwa balozi? Sasa huo ushauri wa kidiplomasia unakujaje tena?
Mbona ghafla sanaa? Au ....