KuniMbichi
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 249
- 359
KUVURUGWASi juzi tu aliteuliwa ubalozi au naota???
KUVURUGWASi juzi tu aliteuliwa ubalozi au naota???
KUVURUGWA, away kichapo home kichapo usivurugwe kwanini?Huyu si aliteuliwa kuwa balozi? Sasa huo ushauri wa kidiplomasia unakujaje tena?
Mbona ghafla sanaa? Au ....
Hatariiiii.Ulishawahi kumuona mfa maji? Usipokuwa makini, akikushika ili kuyaokoa maisha yake; mnaweza kuzama wote na kufa.
KUVURUGWA, away kichapo home kichapo usivurugwe kwanini?
Nyalandu hana majukumu ya mambo ya ndani.Hawezi badirisha upepo, wame mpiga busu mamba hawaa
Huyu mwamba ndiye kamdondosha dada wa California kutoka Instagram. Watu wote walishashindwa lakini LN kamsabararisha, Mange amebakia analialia tu. Kupoteza 10.5 Million followers siyo jambo jepesi.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mshauri wa Rais, Diplomasia.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Balozi Lazaro Samuel Nyalandu ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais, Diplomasia.
View attachment 3505490