Lazaro Nyalandu ateuliwa kuwa Mshauri wa Rais katika masuala ya Diplomasia

Waziri wa mambo ya nje atakuwa mshauri wa nini sasa
 
Huyu mwamba ndiye kamdondosha dada wa California kutoka Instagram. Watu wote walishashindwa lakini LN kamsabararisha, Mange amebakia analialia tu. Kupoteza 10.5 Million followers siyo jambo jepesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…