Kweli wakiongozwa na ElibarikiSingida ina watu smart ...ukombozi wa nchi hii utaletwa Na vijana wa singida.
sharti waungane wawe kitu komoja...mwigulu..na wenzako acheni ujinga unganeni Na wenzenu lazaro Na lissu muisaidie hii nchi.
huoni mnavyoaminika hata ts mmejaa wasingida
amkeni muisaidie hii nchi
Bendera fuata upepo kila alie ccm anaewapa maneno matamu masikioni mwenu anajitambua,pamoja na kujitambua kote huko mmefaidika vipi na kujitambua kwaoAnajitambua ile ya warioba ndio ilikuwa yenyewe. Yenye mawazo ya watanzania sio maccm. Alafu kingu ameacha imani na kukimbilia unafiki wakati kanisa alilopo linawashep sana waumini yeye anaboa kuliko wabunge wote. Hatari sana. Tunakuombea sana Nyarandu now unajitambua . zaidi nawaombea Nape nauye ,Bashe, wekeni tinted kwenye magari yenu maana maoni yenu haya ni mwiba mkubwa sana
Mku huyu anawaonyesha Watanzania njia salama ya kuilinda amani yetu. Ee Mwenyezi Mungu naomba uilinde nchi yangu Tanzania. AmenNyalando nadhani anaelekea kurukwa na akili.
Mchakato ulifikia hatua ya kupiga kura ya maoni,na waliopitisha kwa wingi ni wao wabunge,simuelewi anavyotaka kurudi reverse,kisheria tunangoja tu kura ya maoni.
Ni kura ya hapana tu itarudisha upya mchakato,Nyalando usitake kutuharibia nchi kisa tu umenyimwa uwaziri,mbona hukusema haya wakati unauza vitalu
Anaandika Mh Mbunge: Lazaro Nyalandu
NAKUSUDIA kuwasilisha kwa SPIKA wa BUNGE, Mh. Job Ndugai, Mb., AZMA yangu ya kuleta MUSWADA binafsi wa SHERIA katika KIKAO kijacho
cha BUNGE itakayoweka SHARTI la kurejea UPYA mjadala wa KATIBA MPYA ya Tanzania, kwa KUZINGATIA RASIMU ya KATIBA kama ilivyowasilishwa na TUME ya
JAJI WARIOBA. (Lazaro S. Nyalandu, Mb., Singida Kaskazini-CCM).
(Pichani, nikiwa Kijijini Mgori, [HASHTAG]#SingidaKaskazini[/HASHTAG], jana wakati
wa hafla ya sherehe za Mahafali
ya Kidato cha IV, Sekondari ya Mwanamwema Shain)
[HASHTAG]#PrayForTunduLissu[/HASHTAG]
Ila leo ACT wengi waliohamia makinikia wanatoka Singida piaSingida ina watu smart ...ukombozi wa nchi hii utaletwa Na vijana wa singida.
sharti waungane wawe kitu komoja...mwigulu..na wenzako acheni ujinga unganeni Na wenzenu lazaro Na lissu muisaidie hii nchi.
huoni mnavyoaminika hata ts mmejaa wasingida
amkeni muisaidie hii nchi
Hataweza. WatamtimuaAnaandika Mh Mbunge: Lazaro Nyalandu
NAKUSUDIA kuwasilisha kwa SPIKA wa BUNGE, Mh. Job Ndugai, Mb., AZMA yangu ya kuleta MUSWADA binafsi wa SHERIA katika KIKAO kijacho cha BUNGE itakayoweka SHARTI la kurejea UPYA mjadala wa KATIBA MPYA ya Tanzania, kwa KUZINGATIA RASIMU ya KATIBA kama ilivyowasilishwa na TUME ya JAJI WARIOBA. (Lazaro S. Nyalandu, Mb., Singida Kaskazini-CCM).
(Pichani, nikiwa Kijijini Mgori, [HASHTAG]#SingidaKaskazini[/HASHTAG], jana wakati wa hafla ya sherehe za Mahafali ya Kidato cha IV, Sekondari ya Mwanamwema Shain)
[HASHTAG]#PrayForTunduLissu[/HASHTAG]
hata mwigulu Ni waziri wa ccm..nadhani hujanielewa..mimi niko nje ya wigo wa kivyamaIla leo ACT wengi waliohamia makinikia wanatoka Singida pia
Kuna kila dalili .Inaelekea Ukombozi wa nchi hii utaanzia Singida ..................!!