Anaandika Mh Mbunge: Lazaro Nyalandu
NAKUSUDIA kuwasilisha kwa SPIKA wa BUNGE, Mh. Job Ndugai, Mb., AZMA yangu ya kuleta MUSWADA binafsi wa SHERIA katika KIKAO kijacho
cha BUNGE itakayoweka SHARTI la kurejea UPYA mjadala wa KATIBA MPYA ya Tanzania, kwa KUZINGATIA RASIMU ya KATIBA kama ilivyowasilishwa na TUME ya
JAJI WARIOBA. (Lazaro S. Nyalandu, Mb., Singida Kaskazini-CCM).
(Pichani, nikiwa Kijijini Mgori, [HASHTAG]#SingidaKaskazini[/HASHTAG], jana wakati
wa hafla ya sherehe za Mahafali
ya Kidato cha IV, Sekondari ya Mwanamwema Shain)
[HASHTAG]#PrayForTunduLissu[/HASHTAG]