Lazaro Nyalandu: Tanzania inahitaji Katiba mpya ili mihimili ya utawala iwe na mipaka iliyo wazi

Mungu alisha walaani wapinzani wa Tanzania, na laana hiyo ikae juu yao kwa usaliti na uzandiki. Mungu Mbariki sana tena sana Dkt Magufuli na CCM yetu.

Mkuu;
Pole zako! Ati Mungu kisha walaani wapinzani. Hivi kweli, wewe unaposema namna hiyo inamaana ulitamani uendelee kutawaliwa na mkoloni au?? Kwa sababu, Mwl asingelimpinga mkoloni leo hii tungelikuwa wapi?? Ni u zuzu kuona upinzani ni laana.

Hatupo hapa kusema; Ndioooooooo! Hapana. Tukubaliane kwa hoja yenye nguvu sio hoja za nguvu.

Nadhani umelaaniwa na kila Mtanzania na hiyo ccm yako pia. Ile ccm ya Mwl sio hiyo yako
 
Mbunge Nyalandu asema Tz inahitaji katiba mpya ili mihimili iwe na mipaka iliyowazi na kuwepo kwa uangalizi wa Bunge, Mahakama na Serikali.

Mi naona tuendelee na Ratiba yetu hii hii, naona hakuna mapungufu. Wa nakumbuka shuka walisha sikia majogoo yanawika... Hawa si walikuwa wanachakachua ile ya warioba !! Sasa yamewa kwama , wanakumbuka.... [emoji102]
 
Yuko Sahihi Lakini atakuwa adui Kwa kusema ukweli........
 
Akwende huko.. yani mpaka mirija yake ikatwe ndo aone katiba ni muhimu .. wakati yupo kwenye system hakuona hiloo...Maunafki unafkini .. hawa sio viongozi hata kidogo
 
Mbunge Nyalandu asema Tz inahitaji katiba mpya ili mihimili iwe na mipaka iliyowazi na kuwepo kwa uangalizi wa Bunge, Mahakama na Serikali.


Hii ni hatua njema tunamsubiria Lion Chawene na wengi wengine ambao wataona umuhimu wa kuwa na rational thinking dhidi ya waliamua kujitoa ufahamu ili kutumikia matumbo yao kama wale Maprofesa na Madaktari tokea UDSM waliokuwapo serikalini.
 
[emoji107] Na wewe kinakuhusu!
 
Bila kujali uchama aluchokisema ni kweli. Ifikie kipindi iwe utaifa kwanza chama baadae.
Ni kweli, lkn tulipo pata nafasi ya kuandika katiba mpya alikuwa upande gani kama si wa vivuruge?, Amini nakwambia huyu akipewa ulaji ataikana kauli yake.
 

Afadhali mtuanaepigania tumbolake bila kushika SMG ya kivita mchana kweupe!
Kuliko Wauaji wanaotumia SMG mchana kweupe kwa ajili ya matumboyao.

Ok 'tumekusikia ndiyo, Lakakini unafikiri kwamba waliotaka kumuua lisu wanataka nini?
Ccm mmelaaniwa kuliko unavodhani hakuna jiwe litakalobaki salama.
Bashite akiwa mratibu wa mamboyote.
 
Ukisema hakuna anayepinga katiba mpya unakosea sana bro, rejea mkutano wa Magufuli na waandishi wa habari pale ikulu, alipoulizwa swali kuhusu katiba mpya. Ni juzi tu hapa na ushasahau majibu yake? Vipi unasema hakuna anayepinga katiba mpya!!!
 
Kasema kweli ingawa ukweli utawachoma

Bunge na mahakama vingepata viongozi kama lissu tungenyoka kwenye mstari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…