Lazaro Nyalandu: Tanzania inahitaji Katiba mpya ili mihimili ya utawala iwe na mipaka iliyo wazi

Lazaro Nyalandu: Tanzania inahitaji Katiba mpya ili mihimili ya utawala iwe na mipaka iliyo wazi

Ni Nyalandu yule wa twiga au mwingine? Kama ndio yule basi atakuwa anajiandaa kwenda kugombea nafasi chadema!
 
Hakuna anayepinga uwepo wa katiba mpya, ila je vipaumbele vyetu kama taifa kwa sasa ni vipi?? Je ni demokrasia au ni ufaidikaji na rasirimali zetu? In short katiba mpya kwa sasa siyo agenda ya taifa, maana hata ukiwa na katiba mpya kwa jinsi baadhi ya viongozi wa upinzani (akiwemo na yeye huyu mnafiki nyalandu) uelewa wao wa mambo ni mdogo sana tena sana, na wanaendeshwa na matumbo yao, yaani kama kuna kitu kinashibisha tumbo lake basi atalalia huko huko, ila kama kuna kitu kinasababisha njaa tumbo lake basi atakipinga kweli kweli. Viongozi wetu wa upinzani hawajitambui kabisa, yaani uelewa wao unaendeshwa na ubinafsi na siyo maslahi mapana ya taifa. Wanataka vile wanavyovitaka wao na siyo inavyovitaka Tanzania, na ndiyo maana kwa kizazi chetu kamwe tusitegemee upinzani kushindwa uchaguzi wa rais au kuongoza serikali, maana akili zao zinawaza matumbo na ubinafsi. Yaani mpaka wachungaji akina Mh. Msigwa hela imewatawala na siyo Tanzania. Wapinzani wetu (including Nyarandu) wapo tayari kushirikiana na mataifa maadui zetu ili kufanikisha ajenda zao. Mungu alisha walaani wapinzani wa Tanzania, na laana hiyo ikae juu yao kwa usaliti na uzandiki. Mungu Mbariki sana tena sana Dkt Magufuli na CCM yetu.
Kwa comment kama hii mond inabidi waweke kidude[emoji107] kuonyesha kwamba kina watu wanaongea utumbo
 
yyy.PNG
historical
 
Kimachoniuma na kutia hasira, ni kwanini hawayasemi hayo kipindi wakiwa huko, mpaka watibuliwe au kuvurugwa ndio wanapata ufahamu wa jamii inayowazunguka na mahitaji yao.
Mimi nahisi huko nyuma mambo yalikuwa tofauti kwao na kwa wananchi kutokana na maisha n. K ila now wananchi wamekuwa watu wasio na kauli za kusikilizaa laaaabda ndio maana wameona nivema tuwasaidie wananchi au umemuelewaje
 
Hakuna anayepinga uwepo wa katiba mpya, ila je vipaumbele vyetu kama taifa kwa sasa ni vipi?? Je ni demokrasia au ni ufaidikaji na rasirimali zetu? In short katiba mpya kwa sasa siyo agenda ya taifa, maana hata ukiwa na katiba mpya kwa jinsi baadhi ya viongozi wa upinzani (akiwemo na yeye huyu mnafiki nyalandu) uelewa wao wa mambo ni mdogo sana tena sana, na wanaendeshwa na matumbo yao, yaani kama kuna kitu kinashibisha tumbo lake basi atalalia huko huko, ila kama kuna kitu kinasababisha njaa tumbo lake basi atakipinga kweli kweli. Viongozi wetu wa upinzani hawajitambui kabisa, yaani uelewa wao unaendeshwa na ubinafsi na siyo maslahi mapana ya taifa. Wanataka vile wanavyovitaka wao na siyo inavyovitaka Tanzania, na ndiyo maana kwa kizazi chetu kamwe tusitegemee upinzani kushindwa uchaguzi wa rais au kuongoza serikali, maana akili zao zinawaza matumbo na ubinafsi. Yaani mpaka wachungaji akina Mh. Msigwa hela imewatawala na siyo Tanzania. Wapinzani wetu (including Nyarandu) wapo tayari kushirikiana na mataifa maadui zetu ili kufanikisha ajenda zao. Mungu alisha walaani wapinzani wa Tanzania, na laana hiyo ikae juu yao kwa usaliti na uzandiki. Mungu Mbariki sana tena sana Dkt Magufuli na CCM yetu.
tunataka katiba mpya.tumeichoka ccm yenu
 
Alichoongea ni kweli tupu.....

Isipokuwa unafiki wa watawala na watu kijijengea nafasi za muda mfupi ndiyo zinasababisha kukwama kupatikana kwa Katiba mpya.
 
Ccm mngekuwa mnaongea hii lugha siku zote nchi ingekuwa mbali

Ila mkishakaa meza ya chakula,mnaogopa kuongea kwa kuwa chakula kinaweza kuruka kutoka mdomoni kikawadondokea wakubwa,na wakubwa huwa hawataki kelele wakati wa kula

Ila karibu kwenye movement Nyalandu,mtaji wako ni wananchi,si lazima iwe chama

Na ccm wengine pia,kadri nguvu ya ccm inavyopungua ndivyo mnavyokuwa huru na kupata uhakika na amani, sasa chama kinawatisha,oneni kenya,wanakwenda huku au kule,chama utakacho,hutishiwi kupelekwa mahakamani,kusingiziwa,kuchafuliwa
Kama PolePole alivyotusaliti
 
Kwa comment kama hii mond inabidi waweke kidude[emoji107] kuonyesha kwamba kina watu wanaongea utumbo
Vivyo hivyo kitufe husika kingekuhusu kwenye comment kama hii yako. Pia kama unaoana kaandika utumbo, nenda kamenye ndizi kabisa uliuuchemshe vipate kuwa mlo wako wa leo katika kutuliza stress ulizonazo.

"Nitaendelea kuwatumikia wananchi mpaka pumzi yangu ya Mwisho.
Na kama nikifa kila tone la damu yangu litajenga muungano usiofutika"
 
Huyu anajua kilichopo mbele yake nin

Huyu leo katika kikao chao hicho lazima awepo kwenye Agenda.

lazaro katika ubora wake na twiga kupanda ndege

Ushauri mzuri ingawa hataeleweka kwa wachache ingawaje wanaufahamu ukweli!

Huyu tunajiandaa kumuona upande wa pili muda si mrefu

Bila kujali uchama aluchokisema ni kweli. Ifikie kipindi iwe utaifa kwanza chama baadae.

Ukinyimwa ulaji ndani ya CCM akili zinabadilika! Huyu alisimama tena kwa mbwembwe kuunga mkono katiba iliyochakachuliwa na kupiga teke katiba ya mzee Warioba, leo anataka kusema nn!! Hatumpi tena nafasi ya kuiba Twiga wetu!!! Hii inaitwa nitoke vipi!!
 
Wakati mchakato ulipo pelekwa bungeni huyu mkuu alikuwa Waziri, wakaikoroga wanavyo taka wao. Sasa katiba imembana anataka kutuaminisha kivingine... Hii ni kujifunza kutokana na makosa

Wengi waliitaka ile rasimu ya warioba ipite, lakini agizo la chama lilikuwa ni kuipinga, na ukizingatia ilikuwa karibu na kampeni za kuutaka uraisi, hivyo wengi walikubali tu kufuata mkumbo wasionekane wasaliti
 
Alipokuwa kwenye "system" hakuuona umuhimu huu ila sasa kwa kuwa yuko nje ndo anauona!
Mawaziri wanafungwa na kanuni za "collective responsibility", hawatakiwi kusema tu wanachotaka nje ya vikao vya ndani serikalini kama wanachotaka kusema kinapingana na sera za serikali.

Ndiyo maana mtu anaweza kuonekana kakaa kimya akiwa waziri, akitoka anasema.

Inawezekana alikuwa anasema vikao vya ndani, lakini mawazo yake yanapingwa,akitoka vikao vya ndani kwa kanuni za "collective responsibility" hatakiwi kuipinga serikali akiwa bado waziri.
 
Kuna mstari mmoja ambao tukiweza kuuvuka wa Tz tutapiga hatua kubwa kimaendeleo. Kama anavyosema JPM uvyama vyama! Amini nawaambia adui mkubwa wa amani,utulivu na hata maendeleo nchini kwetu si udini wala ukabila. Adui ni vyama vyetu vya siasa vilivyotufunga akili zetu kwenye box.

Kwamba mtu kama si wa chama chako, lolote alisemalo au atakalotenda hata kama ni kwa maslahi mapana ya nchi ni rubbish! Damu za watu zimemwagwa na zitaendelea kumwagika sio kwa udini wala ukabila ila sababu ya uvyama

Natamani mheshimiwa Rais anapolikemea suala hilo aende mbali zaidi, avunje huu unyanyepa wa kivyama kwa vitendo na kwa dhati kabisa maana yeye anayo nafasi ya kipekee kuanzisha hilo
 
Back
Top Bottom