Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ata CCM kuna viongoz wengie wapo makiniNi Nyalandu yule wa twiga au mwingine? Kama ndio yule basi atakuwa anajiandaa kwenda kugombea nafasi chadema!
Kweli Mkuu..Huyu leo katika kikao chao hicho lazima awepo kwenye Agenda.
Kwa comment kama hii mond inabidi waweke kidude[emoji107] kuonyesha kwamba kina watu wanaongea utumboHakuna anayepinga uwepo wa katiba mpya, ila je vipaumbele vyetu kama taifa kwa sasa ni vipi?? Je ni demokrasia au ni ufaidikaji na rasirimali zetu? In short katiba mpya kwa sasa siyo agenda ya taifa, maana hata ukiwa na katiba mpya kwa jinsi baadhi ya viongozi wa upinzani (akiwemo na yeye huyu mnafiki nyalandu) uelewa wao wa mambo ni mdogo sana tena sana, na wanaendeshwa na matumbo yao, yaani kama kuna kitu kinashibisha tumbo lake basi atalalia huko huko, ila kama kuna kitu kinasababisha njaa tumbo lake basi atakipinga kweli kweli. Viongozi wetu wa upinzani hawajitambui kabisa, yaani uelewa wao unaendeshwa na ubinafsi na siyo maslahi mapana ya taifa. Wanataka vile wanavyovitaka wao na siyo inavyovitaka Tanzania, na ndiyo maana kwa kizazi chetu kamwe tusitegemee upinzani kushindwa uchaguzi wa rais au kuongoza serikali, maana akili zao zinawaza matumbo na ubinafsi. Yaani mpaka wachungaji akina Mh. Msigwa hela imewatawala na siyo Tanzania. Wapinzani wetu (including Nyarandu) wapo tayari kushirikiana na mataifa maadui zetu ili kufanikisha ajenda zao. Mungu alisha walaani wapinzani wa Tanzania, na laana hiyo ikae juu yao kwa usaliti na uzandiki. Mungu Mbariki sana tena sana Dkt Magufuli na CCM yetu.
Mimi nahisi huko nyuma mambo yalikuwa tofauti kwao na kwa wananchi kutokana na maisha n. K ila now wananchi wamekuwa watu wasio na kauli za kusikilizaa laaaabda ndio maana wameona nivema tuwasaidie wananchi au umemuelewajeKimachoniuma na kutia hasira, ni kwanini hawayasemi hayo kipindi wakiwa huko, mpaka watibuliwe au kuvurugwa ndio wanapata ufahamu wa jamii inayowazunguka na mahitaji yao.
tunataka katiba mpya.tumeichoka ccm yenuHakuna anayepinga uwepo wa katiba mpya, ila je vipaumbele vyetu kama taifa kwa sasa ni vipi?? Je ni demokrasia au ni ufaidikaji na rasirimali zetu? In short katiba mpya kwa sasa siyo agenda ya taifa, maana hata ukiwa na katiba mpya kwa jinsi baadhi ya viongozi wa upinzani (akiwemo na yeye huyu mnafiki nyalandu) uelewa wao wa mambo ni mdogo sana tena sana, na wanaendeshwa na matumbo yao, yaani kama kuna kitu kinashibisha tumbo lake basi atalalia huko huko, ila kama kuna kitu kinasababisha njaa tumbo lake basi atakipinga kweli kweli. Viongozi wetu wa upinzani hawajitambui kabisa, yaani uelewa wao unaendeshwa na ubinafsi na siyo maslahi mapana ya taifa. Wanataka vile wanavyovitaka wao na siyo inavyovitaka Tanzania, na ndiyo maana kwa kizazi chetu kamwe tusitegemee upinzani kushindwa uchaguzi wa rais au kuongoza serikali, maana akili zao zinawaza matumbo na ubinafsi. Yaani mpaka wachungaji akina Mh. Msigwa hela imewatawala na siyo Tanzania. Wapinzani wetu (including Nyarandu) wapo tayari kushirikiana na mataifa maadui zetu ili kufanikisha ajenda zao. Mungu alisha walaani wapinzani wa Tanzania, na laana hiyo ikae juu yao kwa usaliti na uzandiki. Mungu Mbariki sana tena sana Dkt Magufuli na CCM yetu.
ha ha haaa hapa alikuwa anatangaza utalii huko marekani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]historical![]()
Kama PolePole alivyotusalitiCcm mngekuwa mnaongea hii lugha siku zote nchi ingekuwa mbali
Ila mkishakaa meza ya chakula,mnaogopa kuongea kwa kuwa chakula kinaweza kuruka kutoka mdomoni kikawadondokea wakubwa,na wakubwa huwa hawataki kelele wakati wa kula
Ila karibu kwenye movement Nyalandu,mtaji wako ni wananchi,si lazima iwe chama
Na ccm wengine pia,kadri nguvu ya ccm inavyopungua ndivyo mnavyokuwa huru na kupata uhakika na amani, sasa chama kinawatisha,oneni kenya,wanakwenda huku au kule,chama utakacho,hutishiwi kupelekwa mahakamani,kusingiziwa,kuchafuliwa
Vivyo hivyo kitufe husika kingekuhusu kwenye comment kama hii yako. Pia kama unaoana kaandika utumbo, nenda kamenye ndizi kabisa uliuuchemshe vipate kuwa mlo wako wa leo katika kutuliza stress ulizonazo.Kwa comment kama hii mond inabidi waweke kidude[emoji107] kuonyesha kwamba kina watu wanaongea utumbo
Huyu anajua kilichopo mbele yake nin
Huyu leo katika kikao chao hicho lazima awepo kwenye Agenda.
lazaro katika ubora wake na twiga kupanda ndege
Ushauri mzuri ingawa hataeleweka kwa wachache ingawaje wanaufahamu ukweli!
Huyu tunajiandaa kumuona upande wa pili muda si mrefu
Bila kujali uchama aluchokisema ni kweli. Ifikie kipindi iwe utaifa kwanza chama baadae.
Huenda ikawa hivyo. Maana mbio zake hazina kifaniHuyu tunajiandaa kumuona upande wa pili muda si mrefu
Wakati mchakato ulipo pelekwa bungeni huyu mkuu alikuwa Waziri, wakaikoroga wanavyo taka wao. Sasa katiba imembana anataka kutuaminisha kivingine... Hii ni kujifunza kutokana na makosa
Mawaziri wanafungwa na kanuni za "collective responsibility", hawatakiwi kusema tu wanachotaka nje ya vikao vya ndani serikalini kama wanachotaka kusema kinapingana na sera za serikali.Alipokuwa kwenye "system" hakuuona umuhimu huu ila sasa kwa kuwa yuko nje ndo anauona!