Lazaro Nyalandu: Tanzania inahitaji Katiba mpya ili mihimili ya utawala iwe na mipaka iliyo wazi

Mukimfukuza bwana wenu na mkimuacha mnamuogopa.
 
Reactions: SDG

sasa kwanini cham kimoja kinakamatwa kamatwa basi?
 
Hii ni Suprise kwa watakao enda kinyume na matakwa ya baba mwenye nyumba....


 
Alipokuwa kwenye "system" hakuuona umuhimu huu ila sasa kwa kuwa yuko nje ndo anauona!
...heri shetani ALIYEBADILIKA kuwa Malaika, kuliko Malaika aliyebadilika kuwa shetani-Paskali wa JF.
 
ccm wakimfukuza watakuwa wamemwonea na wakimwacha watakuwa wamemwogopa!
 
Reactions: mwl
tanzania tunataka katiba mpya tukisha ipigania hichi kitu lazima tuwe na taifa lenye misingi bora zaid baraani afrika na dunia Kwa ujumla...tanzania ni nchi iliyoshikwa na watu wachache ambao ni matajiri wachache...........tupiganiee katiba mpya ili kuondoa vitu vinavyomlinda rais tumechoka sana
 
mbona title na maelezo ndani yanasigana mkuu?
 
kichwa mbona hakiba naudhui ndani yake?

au unemmiss bape?
 
Mi naona tuendelee na Ratiba yetu hii hii, naona hakuna mapungufu. Wa nakumbuka shuka walisha sikia majogoo yanawika... Hawa si walikuwa wanachakachua ile ya warioba !! Sasa yamewa kwama , wanakumbuka.... [emoji102]
Huwa hakuna kawaida ya kuongea wakati wa kula, kuna wanaccm wanakuwa hawakubaliani na yafanywayo lakini maamuzi ya wengi yanawaponza.
 
Watu wa singida wamekuwa chachu ya mabadiliko Tanzania, hongera Lissu & nyalandu ya kuthubutu ktk utawala huu. Nikiwa rais wa Tanzania makao makuu yatahamia singida toka Dom
Hahahah!! Chachu ya mabadiliko iko karibu mikoa yote.
 
Kada, tukubali kuwa Katiba Mpya ndio muarobaini wetu kwa sasa kama nchi.
 
Wakati mchakato ulipo pelekwa bungeni huyu mkuu alikuwa Waziri, wakaikoroga wanavyo taka wao. Sasa katiba imembana anataka kutuaminisha kivingine... Hii ni kujifunza kutokana na makosa
Alikuwa anakula, huwa hakuna kawaida ya kuongea wakati unakula.
 


Ndugu Mudawote;
Katiba inayokubalika ndo itayoweza kuweka usimamizi sustainable wa rasilimali zetu. Hebu tafakari vizuri juu ya maana ya Katiba.
 
Ila uyu jamaa kasafirisha sana twiga wetu
 
Kwa mtu aliyeenda shule kwenye huo ujumbe wa Nyalandu anapata maana zifuatazo:
1. Tanzania haina katiba inayokidhi mahitaji ya watu na nchi
2. Mihimili ya dola inaingiliana kazi
3. Mipaka ya mhimili mmoja na mwingine haipo wazi
4. Hakuna kuheshimiana kimadaraka na kikazi kati ya mihimili ya dola
5. Hakuna checks and balance kwa mihimili ya dola Tanzania
6. Nchi inaongozwa kiholela kwa mihimili ya dola kutokuwa na mipaka iliyowazi
7. TZ haina dira inayoeleweka kiutawala kwa kukosa katiba bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…