Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mstari mmoja ambao tukiweza kuuvuka wa Tz tutapiga hatua kubwa kimaendeleo. Kama anavyosema JPM uvyama vyama! Amini nawaambia adui mkubwa wa amani,utulivu na hata maendeleo nchini kwetu si udini wala ukabila. Adui ni vyama vyetu vya siasa vilivyotufunga akili zetu kwenye box.
Kwamba mtu kama si wa chama chako, lolote alisemalo au atakalotenda hata kama ni kwa maslahi mapana ya nchi ni rubbish! Damu za watu zimemwagwa na zitaendelea kumwagika sio kwa udini wala ukabila ila sababu ya uvyama
Natamani mheshimiwa Rais anapolikemea suala hilo aende mbali zaidi, avunje huu unyanyepa wa kivyama kwa vitendo na kwa dhati kabisa maana yeye anayo nafasi ya kipekee kuanzisha hilo
Hatujazoea kuona wabunge wakifanya kazi zao wanazopaswa kufanyaHuyu anajua kilichopo mbele yake nin
...heri shetani ALIYEBADILIKA kuwa Malaika, kuliko Malaika aliyebadilika kuwa shetani-Paskali wa JF.Alipokuwa kwenye "system" hakuuona umuhimu huu ila sasa kwa kuwa yuko nje ndo anauona!
Usimwamini mwanasiasa, hata CHADEMA walimsema Lowassa fisadi ila sasa hivi mastermind wa CHADEMA.Wakati wa Bunge la Katiba alipiga kura ya ndiyo au hapana?
Huwa hakuna kawaida ya kuongea wakati wa kula, kuna wanaccm wanakuwa hawakubaliani na yafanywayo lakini maamuzi ya wengi yanawaponza.Mi naona tuendelee na Ratiba yetu hii hii, naona hakuna mapungufu. Wa nakumbuka shuka walisha sikia majogoo yanawika... Hawa si walikuwa wanachakachua ile ya warioba !! Sasa yamewa kwama , wanakumbuka.... [emoji102]
Hahahah!! Chachu ya mabadiliko iko karibu mikoa yote.Watu wa singida wamekuwa chachu ya mabadiliko Tanzania, hongera Lissu & nyalandu ya kuthubutu ktk utawala huu. Nikiwa rais wa Tanzania makao makuu yatahamia singida toka Dom
Kada, tukubali kuwa Katiba Mpya ndio muarobaini wetu kwa sasa kama nchi.Hakuna anayepinga uwepo wa katiba mpya, ila je vipaumbele vyetu kama taifa kwa sasa ni vipi?? Je ni demokrasia au ni ufaidikaji na rasirimali zetu?
In short katiba mpya kwa sasa siyo agenda ya taifa, maana hata ukiwa na katiba mpya kwa jinsi baadhi ya viongozi wa upinzani (akiwemo na yeye huyu mnafiki nyalandu) uelewa wao wa mambo ni mdogo sana tena sana, na wanaendeshwa na matumbo yao, yaani kama kuna kitu kinashibisha tumbo lake basi atalalia huko huko, ila kama kuna kitu kinasababisha njaa tumbo lake basi atakipinga kweli kweli.
Viongozi wetu wa upinzani hawajitambui kabisa, yaani uelewa wao unaendeshwa na ubinafsi na siyo maslahi mapana ya taifa. Wanataka vile wanavyovitaka wao na siyo inavyovitaka Tanzania, na ndiyo maana kwa kizazi chetu kamwe tusitegemee upinzani kushinda uchaguzi wa rais au kuongoza serikali, maana akili zao zinawaza matumbo na ubinafsi.
Yaani mpaka wachungaji akina Mh. Msigwa hela imewatawala na siyo Tanzania. Wapinzani wetu (including Nyalandu) wapo tayari kushirikiana na mataifa maadui zetu ili kufanikisha ajenda zao. Mungu alisha walaani wapinzani wa Tanzania, na laana hiyo ikae juu yao kwa usaliti na uzandiki. Mungu Mbariki sana tena sana Dkt Magufuli na CCM yetu.
Alikuwa anakula, huwa hakuna kawaida ya kuongea wakati unakula.Wakati mchakato ulipo pelekwa bungeni huyu mkuu alikuwa Waziri, wakaikoroga wanavyo taka wao. Sasa katiba imembana anataka kutuaminisha kivingine... Hii ni kujifunza kutokana na makosa
Mkuu, jibu lako liko vizuri sana. Ni utamaduni "haturuhusiwi kuongea wakati wa kula".Alikuwa anakula, huwa hakuna kawaida ya kuongea wakati unakula.
No permanent friend or enemy in politicsUsimwamini mwanasiasa, hata CHADEMA walimsema Lowassa fisadi ila sasa hivi mastermind wa CHADEMA.
Hakuna anayepinga uwepo wa katiba mpya, ila je vipaumbele vyetu kama taifa kwa sasa ni vipi?? Je ni demokrasia au ni ufaidikaji na rasirimali zetu?