Unapoona moshi unafuka ujue kuna moto unaanza kuwakaMbunge Nyalandu asema Tz inahitaji katiba mpya ili mihimili iwe na mipaka iliyowazi na kuwepo kwa uangalizi wa Bunge, Mahakama na Serikali.
Amesoma alama za nyakati baada ya kunyang'anywa bakuli la supu mdomoni?Huyu ni kiongozi jasiri ndani ya CCM na amesoma alama za nyakati
Nilishasema huko nyuma hakuna mtu yeyote anayesema mambo ya katiba ni mzalendo hasa akitikea ccm. Huyu Nape Lowasa Sumaye sina hata muda wa kuwasikiliza. Wote ni wanafiki huko nyuma walitetea leo wamebanwa wanajifanya marafiki wa demokrasia. Bashe peke yake ni mzalendo wa kweli hakuna yeyote iwe ukawa. Bashe anamzidi mpaka Lissu na Zitto maana anasema ukweli. Lissu na Zitto wana kachembechembe ka unafiki. Maana huko kwao mmoja akipinga yanayoendelea upinzani wanamwita msaliti sijui demokrasia gani wanaitangaza na kuihubiri.Wakati mchakato ulipo pelekwa bungeni huyu mkuu alikuwa Waziri, wakaikoroga wanavyo taka wao. Sasa katiba imembana anataka kutuaminisha kivingine... Hii ni kujifunza kutokana na makosa
Nimekuunga mkono mpaka ulipoitaja ccm umekoroga. Yanayoendelea kwa magufuli si mambo ya ccm ni Magufuli kama mzalendo huko ccm hakuna anayemuunga mkono ni unafiki tu ndiyo maana unaona wanaungana na wapingaji kutoka upinzani. CCM wanataka hali iendelee kama huko nyuma.Hakuna anayepinga uwepo wa katiba mpya, ila je vipaumbele vyetu kama taifa kwa sasa ni vipi?? Je ni demokrasia au ni ufaidikaji na rasirimali zetu?
In short katiba mpya kwa sasa siyo agenda ya taifa, maana hata ukiwa na katiba mpya kwa jinsi baadhi ya viongozi wa upinzani (akiwemo na yeye huyu mnafiki nyalandu) uelewa wao wa mambo ni mdogo sana tena sana, na wanaendeshwa na matumbo yao, yaani kama kuna kitu kinashibisha tumbo lake basi atalalia huko huko, ila kama kuna kitu kinasababisha njaa tumbo lake basi atakipinga kweli kweli.
Viongozi wetu wa upinzani hawajitambui kabisa, yaani uelewa wao unaendeshwa na ubinafsi na siyo maslahi mapana ya taifa. Wanataka vile wanavyovitaka wao na siyo inavyovitaka Tanzania, na ndiyo maana kwa kizazi chetu kamwe tusitegemee upinzani kushinda uchaguzi wa rais au kuongoza serikali, maana akili zao zinawaza matumbo na ubinafsi.
Yaani mpaka wachungaji akina Mh. Msigwa hela imewatawala na siyo Tanzania. Wapinzani wetu (including Nyalandu) wapo tayari kushirikiana na mataifa maadui zetu ili kufanikisha ajenda zao. Mungu alisha walaani wapinzani wa Tanzania, na laana hiyo ikae juu yao kwa usaliti na uzandiki. Mungu Mbariki sana tena sana Dkt Magufuli na CCM yetu.
Kitu kijulikanacho kama UNAFIKI.Kimachoniuma na kutia hasira, ni kwanini hawayasemi hayo kipindi wakiwa huko, mpaka watibuliwe au kuvurugwa ndio wanapata ufahamu wa jamii inayowazunguka na mahitaji yao.
Twiga wetu kwanzaKweli Mkuu..
Sidhani kama wamemruka..
Ila anasema ukweli unaotoka kwenye kifua cha anaejiamini.
siku zote mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu,sasa hivi anapiga kelele kwa sababu mkuki umemuingiaπππbinadamu bwana.Wakati mchakato ulipo pelekwa bungeni huyu mkuu alikuwa Waziri, wakaikoroga wanavyo taka wao. Sasa katiba imembana anataka kutuaminisha kivingine... Hii ni kujifunza kutokana na makosa
Mkuu nakubaliana na wewe. CCM kuna watu kama Nape, Nyalandu wanataka u-CCM uendelee. Kuna watu kama akina mzee Membe nao pia hawaeleweki. Ila kikubwa nikuambie, wana CCM ni wale wapiga kura wa chini, wananchi wanyonge waliokuwa wanadhulumiwa na wajanja wachache, hao ndiyo CCM tunayoiongelea.Nimekuunga mkono mpaka ulipoitaja ccm umekoroga. Yanayoendelea kwa magufuli si mambo ya ccm ni Magufuli kama mzalendo huko ccm hakuna anayemuunga mkono ni unafiki tu ndiyo maana unaona wanaungana na wapingaji kutoka upinzani. CCM wanataka hali iendelee kama huko nyuma.
Huyu jamaa is an agent of the west,sijui Kikwete alifumbwaje macho akamuingiza kwenye serikali yake.To me through his actions he sort of proves to whites that we are indeed a race of low IQ.How for for Gods sake can you be used by the so called investors,but who are actually thugs and looters, collude or conspire against your own people and country.Nyalandu is a traitor like any other,and should be considered as such.Mbunge Nyalandu asema Tz inahitaji katiba mpya ili mihimili iwe na mipaka iliyowazi na kuwepo kwa uangalizi wa Bunge, Mahakama na Serikali.
Huyu anajua kilichopo mbele yake nin
HaahahahaaahNae akampige Warioba kama daud bashite awe mwana mfalme.