babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
[emoji382][emoji382][emoji382]Umemaliza?
AmemalidhaaaaaaaUmemaliza?
Bado hajamalidha mpaka amlethe mdhungu kwanza [emoji3]Amemalidhaaaaaaa
Timu gani iyo we mkia? Umeanza kuwa muongo naww cku hizi etiSsa wawili tuu Simba ina wachezaji 4 ndani ya timu moyaa...
Kwanza Phiri alikua majeruhi muda mrf..bado hajawa fiti..
Namaanisha Simba imetoa watu 4 kwenda kuchezea timu zao..Simba moya watu 4Timu gani iyo we mkia? Umeanza kuwa muongo naww cku hizi eti
yule MLEVI hajaitwa !!Huyu kambole alidhihakiwa sana hasa na ndugu zetu wa Simba wakiongozwa na wachambuzi uchwara km Jemedari Said..
Wakaenda mbali zaidi paka kumuita msukule..
Sasa Leo hii ndio mshambuliaji tegemeo wa timu ya taifa ya Zambia akishirikiana na Mshambuliaji Kennedy Musonda kuunda safu ya mbele ya Chipolopolo.
Ikumbukwe Zambia inafundishwa na Avram Grant kocha wa zamani wa Chelsea aliyeifikisha fainali ya UEFA champions league 2007-2008..
Kwa maana nyingine Kambole ni Mshambuliaji Bora zaidi ya Moses phiri..
Povu ruksaa
Sasa wa4 tu unafurahia hivyo, sisi Yang'aa mbona tumetoa 14 na Wala haturing'ii.Namaanisha Simba imetoa watu 4 kwenda kuchezea timu zao..Simba moya watu 4
Wewe chura hujaelewa nini hapo
Simba walihusikaje na Kambole mbona Utopolo ndiyo walimsajili kisha wakamtema na kumfungia ndani kama msukule?Huyu kambole alidhihakiwa sana hasa na ndugu zetu wa Simba wakiongozwa na wachambuzi uchwara km Jemedari Said..
Wakaenda mbali zaidi paka kumuita msukule..
Sasa Leo hii ndio mshambuliaji tegemeo wa timu ya taifa ya Zambia akishirikiana na Mshambuliaji Kennedy Musonda kuunda safu ya mbele ya Chipolopolo.
Ikumbukwe Zambia inafundishwa na Avram Grant kocha wa zamani wa Chelsea aliyeifikisha fainali ya UEFA champions league 2007-2008..
Kwa maana nyingine Kambole ni Mshambuliaji Bora zaidi ya Moses phiri..
Povu ruksaa
Hajawa fit kivipi, na wakati katika mechi 3 za mwisho alizoichezea timu yenu, ameandikisha assist 3?Ssa wawili tuu Simba ina wachezaji 4 ndani ya timu moyaa...
Kwanza Phiri alikua majeruhi muda mrf..bado hajawa fiti..
😆 😆 😆Sasa wa4 tu unafurahia hivyo, sisi Yang'aa mbona tumetoa 14 na Wala haturing'ii.
Mkiambiwa Yang'aa ni lidude likubwaaa ndo hivi Sasa[emoji1][emoji1]
Kama ndivo ,hajui Phil katoka majeruhi na mashindano hayo sio kwenda Kwa kubetUmemaliza?