babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
Huyu kambole alidhihakiwa sana hasa na ndugu zetu wa Simba wakiongozwa na wachambuzi uchwara km Jemedari Said..
Wakaenda mbali zaidi paka kumuita msukule..
Sasa Leo hii ndio mshambuliaji tegemeo wa timu ya taifa ya Zambia akishirikiana na Mshambuliaji Kennedy Musonda kuunda safu ya mbele ya Chipolopolo.
Ikumbukwe Zambia inafundishwa na Avram Grant kocha wa zamani wa Chelsea aliyeifikisha fainali ya UEFA champions league 2007-2008..
Kwa maana nyingine Kambole ni Mshambuliaji Bora zaidi ya Moses phiri..
Povu ruksaa