and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Kwani alikuwa kukaa Bongo?? Yeye alikuwa Kwa shughuli Mwalimu, ambayo aliifanya, na sasa kapeleka ripoti yake Kwa waliomtuma. Shida ipo wapi.Mheshimiwa Rais Mstaafu wa Malawi Askofu Mkuu Lazarius Chakwera alikuja huko Tanganyika kufanya nini? Mbona aliondoka kimya kimya? Mjini mipango hapana chezeya Chekibobu wa mjinj .zee wa mupango mibovu.
Soma pia
- Rais mstaafu wa Malawi Lazarus Chakwera awasili Tanzania, atumwa na Jumuiya ya Madola
- PostGE2025 - CHADEMA wakutana na Mjumbe wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Rais mstaafu wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera
- Chakwera akutana na Othman Masoud pamoja na Babu Duni, Zanzibar
Mzee Warioba anatema siri za kambi eti tume ilifahya nn tena? Mzee jau sana yule CCM hatumpendi huyu mzeeKaona hili bwawa halisafishiki, kuliko na yeye kuingia tope kaona asepe mapema.
TUME NDIO ILIYOPIGA KURA.Mzee wa Warioba anatema siri za kambi etu tume ilifahya nn tena?
Kwa hiyo tume ilipiga kura, kuhesabu na kutangaza matokeo?TUME NDIO ALIYOPIGA KURA.
ulitaka aondoke akiwa anapiga mayowe au analia?Mheshimiwa Rais Mstaafu wa Malawi Askofu Mkuu Lazarius Chakwera (PhD) alikuja huko Tanganyika kufanya nini? Mbona aliondoka kimya kimya? Mjini mipango hapana chezeya Chekibobu wa mjini .zee wa mipango mibovu ya kuua Watanganyika wenzie.
Soma pia
- Rais mstaafu wa Malawi Lazarus Chakwera awasili Tanzania, atumwa na Jumuiya ya Madola
- PostGE2025 - CHADEMA wakutana na Mjumbe wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Rais mstaafu wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera
- Chakwera akutana na Othman Masoud pamoja na Babu Duni, Zanzibar
Kama ukimya hivyo ndivyo SAWA alikuja Tanganyika kufanya nn? si angeandika ripoti huko huko Lilongwe? Kawaida mediators huwa anafanya PRESS. Ila mnyasa akatimka kama mwizi.ulitaka aondoke akiwa anapiga mayowe au analia?
kwani awali, nani alikwambia anakuja Tz? Si huyo huyo angekujuza kuhisu kuondoka kwake gentleman?🐒
nani alikuarifu anakuja nchini?Kama ukimya hivyo ndivyo SAWA alikuja Tanganyika kufanya nn? si angeandika ripoti huko huko Lilongwe? Kawaida mediators huwa anafanya PRESS. Ila mnyasa akatimka kama mwizi.