Dogo pwilo , Lazarus Kambole amesajiliwa timu ya Wakiso Giants inayoshiriki ligi kuu ya Uganda. Na kusajiliwa kwake huko, ndiko kulikoifanya TFF yenu imruhusu Kisinda kwa aibu kuichezea Yanga.Name: Lazarus kambole
Position: striker
Minutes played: 0
Goal scored : 0
Signing fees: free agent
Previous club: yanga
Current club: unknown
Wachambuzi wa michongo wapo kimya kama hakijatokea kitu vile.
NB: don't take everything serious lets have funny hili ni jukwaa huru tunachangamsha kijiwe bila utani wa simba na yanga hakuna mpira bongo.
Nilikuwa sijui mkuu asante kwa kunikumbusha ila shida nn mkuu mchezaji hajacheza hata mechi mojaDogo pwilo , Lazarus Kambole amesajiliwa timu ya Wakiso Giants inayoshiriki ligi kuu ya Uganda. Na kusajiliwa kwake huko, ndiko kulikoifanya TFF yenu imruhusu Kisinda kwa aibu kuichezea Yanga.