Lazarus Kambole

Lazarus Kambole

pwilo

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
10,913
Reaction score
13,876
Name: Lazarus kambole

Position: striker

Minutes played: 0

Goal scored : 0

Signing fees: free agent

Previous club: yanga

Current club: unknown

Wachambuzi wa michongo wapo kimya kama hakijatokea kitu vile.

NB: don't take everything serious lets have funny hili ni jukwaa huru tunachangamsha kijiwe bila utani wa simba na yanga hakuna mpira bongo.
 
Dogo pwilo , Lazarus Kambole amesajiliwa timu ya Wakiso Giants inayoshiriki ligi kuu ya Uganda. Na kusajiliwa kwake huko, ndiko kulikoifanya TFF yenu imruhusu Kisinda kwa aibu kuichezea Yanga.
 
Dogo pwilo , Lazarus Kambole amesajiliwa timu ya Wakiso Giants inayoshiriki ligi kuu ya Uganda. Na kusajiliwa kwake huko, ndiko kulikoifanya TFF yenu imruhusu Kisinda kwa aibu kuichezea Yanga.
Nilikuwa sijui mkuu asante kwa kunikumbusha ila shida nn mkuu mchezaji hajacheza hata mechi moja
 
Name ; JUNIOR LOKOSA

position; striker

Minutes played ; 0

Goal scored; 0

Signing fee: free agent

Previous club; Simba

Current club; unknown
Huyo alishaanzishiwa thread yake tayari mkuu sasa hivi tuko na kambale
 
Damu ya kambole haita waacha utopolo salama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona sura ya kambole inaonyesha ni mchezaji hatari sana..au alipigwa kipapai hapo na kina myele nini?
 
Suala la muda tu na wakala matapishi yao
 
Attachments

  • IMG_20220915_195856.jpg
    IMG_20220915_195856.jpg
    47.5 KB · Views: 2
Back
Top Bottom