mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,658
- 8,994
fanya harusiii tu shela kubwa ndo mpango mzima
Yetu lini mama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fanya harusiii tu shela kubwa ndo mpango mzima
Kwani wakiwaona mnaishi pamoja hawatajua?harusi bwana wewe watajuaje watu
yetu lini mama?
haina utamu bwana lazima niingie ukumbini bwanakwani wakiwaona mnaishi pamoja hawatajua?
Hayo maisha ya kuiga rafiki ila kama mchumba wako ana pesa hiyo kitu ni lazima ila kama ni za kuhesabika inabidi muende kwa mahesabu kuishi kulingana na kipato chenu mambo ya kukopa kisa harusi hayafai watu wanakopa kukuza mitajihaina utamu bwana lazima niingie ukumbini bwana
Halafu maisha yakiwa magumu unakula mara moja kwa siku hao mashost watakuwepo? mtakapokuwa mnaandamwa na madeni watawasaidia kulipa?
Hayo maisha ya kuiga rafiki ila kama mchumba wako ana pesa hiyo kitu ni lazima ila kama ni za kuhesabika inabidi muende kwa mahesabu kuishi kulingana na kipato chenu mambo ya kukopa kisa harusi hayafai watu wanakopa kukuza mitaji
Hiyo +ve ndo ikoje? uhalisia ni kwamba ndoa siku hizi ni gharama sana wakati pia maisha yako juu mahari unapangiwa mil 2,harusi inagharimu mil 8 na mshahara wako kwa mwezi ni laki 5 how could you afford? kumbuka hiyo inatumika siku moja tu na kuirudisha hiyo pesa mmmh! unafikiri hapo kuna hamasa ya vijana hasa wa kiume kuoa kweli na hapo bado haujakumbana na changamoto za humo kwenye ndoa,watu wataendelea kuzalishana nje ya ndoa tuthink +ve.
Nimeulizwa swali hili na mchumba wangu ambae kila kitu tayari ikiwa kupelekana kwa wazazi na mahari tayari. Iii imekaaje jmn!
Nb. Tunabariki tu ndoa kanisani...
Heee watu wanakopa mtu unapiga mahesabu unakuta harusi inagharimu mil 7 na kumbuka gharama za harusi ziko juu ya mwanaume na hauwezi kutegemea michango ndo iendeshe harusi yako wewe unaplay pati kubwa kama haujaishia kukopa tu!hapo kwneye kukopa ndio hapana aiseee
Konnie mbona kama huyu anaulizia harusi na sio ndoa?
Kumbuka mahari imeshatolewa isipokuwa kuhalalisha mbele ya kadamnasi ndio bado
Kongosho unaniuaaa mie hahhhahha hawa wanaume wetu sijuo mpaka tuwafanyaje maana kwaa akili zao hawawazi kutuoaa, hebu na mie niambie hilo lizombi gani na mie nianze kulala huko ili ndoa itangazwe maana wanaolewaa wengine tu kha!!!hahhhahhhha
Mie kanichanganya tu hapo kuwa wanabariki ndoa kanisani!! Sasa dah
mashosti watajuaje bana!!!!!!!!! harusi muhimu tena irushwe kwenye kideo.
Hata harusi muhimu, sherehe anasa.
Kama ni wa kanisani wapelekane huko, kama wa msikitini, haya shehe aitwe.
Kama ni wa bomani, mwanasheria achangamshe kalamu fasta, kama ni zile zetu za asili, basi wamtoe kimaso maso akaishi nammewe. Mradi taratibu za kuishi na mumewe bila jicho la hasira la jamii zifuatwe.
Bia na minyama anasa tu, kama zipo haya, kama hazipo sio kisingizio cha kutofunga harusi/ndoa
Kwa sababu wa kwako sio kichwa ngumu, nakupa huyu, contact person wake ni EMT
![]()
Hata harusi muhimu, sherehe anasa.
Kama ni wa kanisani wapelekane huko, kama wa msikitini, haya shehe aitwe.
Kama ni wa bomani, mwanasheria achangamshe kalamu fasta, kama ni zile zetu za asili, basi wamtoe kimaso maso akaishi nammewe. Mradi taratibu za kuishi na mumewe bila jicho la hasira la jamii zifuatwe.
Bia na minyama anasa tu, kama zipo haya, kama hazipo sio kisingizio cha kutofunga harusi/ndoa
Kwa sababu wa kwako sio kichwa ngumu, nakupa huyu, contact person wake ni EMT
![]()