Lazima huwa unafanya moja ya vitu hivi unapohisi hakuna anaekuona!

Lazima huwa unafanya moja ya vitu hivi unapohisi hakuna anaekuona!

Sijajua kwa wanaume ila binafsi napenda sana tena nkitoka kuoga naeza kumaliza lisaa zima katika kioo
Nahis utakuwa na figa ya maana otherwise usingekuw unapenda kufanya ivo
 
Kucheua chakula ulichokula muda mfupi na kuanza kukisaga taratibu kama mbuzi!!!Akitokea mtu ghafla unajifanya kuchezesha machavu kama Mbega! !!!
 
Kulia chooni pindi mkeka wangu ninaoutegemea afu mpuuzi mmoja ananicbanisha
 
Back
Top Bottom