Lazima huwa unafanya moja ya vitu hivi unapohisi hakuna anaekuona!

Mkuu

mim nadhan inatokana na kudekezwa, ni sawa wale wanaopenda kunyonya vidole, muda wote mkono upo mdomoni.

Mtoto mwenye tabia hzo hasipokemewa utotoni, anaendelea na tabia hiyo hadi ukubwani
Inawezekana kweli! Ila mimi naona ni tatizo la kisaikolojia.
 
Kupigia simu milupo
 
uko na kibunda cha manoti umetumwa na mdosi ukaziweke kwenye benki na kisha uko na hela ya usafiri umeiweka pembeni ila ukikaanisha na mtoto mzuri kwenye daladala lazima kwanza utoe kile kibunda unajifanya kama vile unatoa noti ulipie usafiri.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…