kedekede
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 5,313
- 7,714
Wanawake Bhana!Mi pia 😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake Bhana!Mi pia 😂😂
Hata mimi ujueKucheza uchi mbele ya kioo..!!
Nikiwa peke yangu naleta tabia za kivita vitaaa.Mimi napenda kunywa maji kwa kutumia jagi. Yaani bila glasi wala kikombe.
Wewe je?
Kucheza uchi mbele ya kioo..!!
hamuogopi?Mi pia [emoji23][emoji23]
wanasema huwezi ogopa kivuli chako..!!hamuogopi?
Kucheza uchi mbele ya kioo..!!
Ngoja nivute picha....Mi pia [emoji23][emoji23]
Ngoja nivute picha....
hamuogopi?
kujiona ukicheza mtupu.Kuogopa nini?
kujiona ukicheza mtupu.
Mmmmhhhhh😊😊😊😊Mm nikiwa ndani pekee yangu na mikao ya ajabu mno yaani full kujiachia[emoji2][emoji2]
Ili Uone nini kwenye kiooMi pia [emoji23][emoji23]
Nitafungulia reggae kwa sauti ya juu kisha naimba kwa sauti hasa nyimbo za luck dude, Bob au culture. Feeling like heaven.Kuogopa nini?