Lazima huwa unafanya moja ya vitu hivi unapohisi hakuna anaekuona!

Lazima huwa unafanya moja ya vitu hivi unapohisi hakuna anaekuona!

I have a playlist, nikianza kuyarudi jason derulo haoni ndani.. nilishawahi kufumwa once aliyeniona kidogo asahau namna ya kupumua[emoji1]. Nikimaliza naanza kunywa maji huku miguu ikiwa juu kichwa chini.
😅 😅 😅 Duniani wawili wawili.
 
Ukiwa unakula peke yako nyama ikidondoka chini unaichukua unaila ila mkiwa wengi unazuga na kuitupa
Mkuu Mimi hata tukiwa wengi nyama ikidondoka lazimma nipige jicho kwanza huku na huku kucheki Kama Kuna anayeniona, nikiona hamna anayeniangalia nitafanya ujanja wowote ule niiokote bila kugundulika niile!
Mkiniita mroho sawa tu ila sio kwa nyama kwa kweli, labda nikidondosha nyanya chungu ndo ntaipotezea.
 
Back
Top Bottom