Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeeKukausha boxers kwenye microwave.
Wee jamaaa wewe nitakuchongea kwa mods, shauri yako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu na ka life ban
Bhana mkuu wangu [emoji28]
HahahahahaaNimiwa home alone napiga mayai manne ya kuchemsha baada ya muda naanza ...pyuuuuuuuu..mara buuuuuuuuuuu......halafu namalizia na taraaaaaaaaaaaaaaa..huwa nainjoy sana kujamba
Halafu mna twerk kidogo and stuff like that...
Video please! Kuleeeee 😋😋😋😋
hahaha mi napita tu;
AaahKukausha boxers kwenye microwave.
HahahaWee jamaaa wewe nitakuchongea kwa mods, shauri yako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hua naenda kukaa chini ya uvungu mwenyeweHalafu nageuka geuka kiupande kuangalia kama kitumbo kimeongezeka hata kidogo [emoji23][emoji23][emoji23]
hahaha that is why I like you; lem come kwa kweli. It has been long time.Usipite mtarajiwa njoo tujiangalie wote 😅
😂😂Nitafungulia reggae kwa sauti ya juu kisha naimba kwa sauti hasa nyimbo za luck dude, Bob au culture. Feeling like heaven.
Nakusubiri 🙈🙈hahaha that is why I like you; lem come kwa kweli. It has been long time.
Nilidhani Gitaramo....Hahaha
Acha tu mkuu
Nlimtania kigogo mmoja humu mwenye wadhifa wake
Hahaha , wamenipeleka guantanamo
[emoji28][emoji28][emoji28]Kucheza uchi mbele ya kioo..!!
Mi pia [emoji23][emoji23]
Una chembechembe za ki-AlshababuNikiwa peke yangu naleta tabia za kivita vitaaa.
Mara nitachukua kisu nijifanye namchoma mtu mara nijifanye namlipua mtu na RPG !!
Nikiwa alone nipo hvyo aisee
[emoji3][emoji3][emoji3]navuta picha eti unacheza uchi[emoji3][emoji3].