Lazima huwa unafanya moja ya vitu hivi unapohisi hakuna anaekuona!

Lazima huwa unafanya moja ya vitu hivi unapohisi hakuna anaekuona!

Huwa nikiangalia movie scene nilioipenda naenda kwenye kioo hlf na act Kama character niliempenda kwenye hiyo scene[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom